Siku atakayokufa watanzania watafurahi sana

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
2,600
4,701
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.

Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru Hadija wa tanapa ambaye analindwa sana na mamlaka siku akifa watu watafurahi sana maana rasilimali inayotumika kumtunza ni kubwa sana kuliko kawaida.

Yote katika yote hawa wanyama jamii ya faru ni adimu sana inabidi walindwe nguvu zote wasije wakatoweka kama ilivyokuwa kwa Bison
images.jpeg
 
Yote katika yote hawa wanyama jamii ya faru ni adimu sana inabidi walindwe nguvu zote wasije wakatoweka kama ilivyokuwa kwa Bison​
Watasubiri sana hilo dude hapo pichani gumu sana kufa ngoja liendelee kuwakera japo watafurahi akifa.
 
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.

Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru Hadija wa tanapa ambaye analindwa sana na mamlaka siku akifa watu watafurahi sana maana rasilimali inayotumika kumtunza ni kubwa sana kuliko kawaida.

Yote katika yote hawa wanyama jamii ya faru ni adimu sana inabidi walindwe nguvu zote wasije wakatoweka kama ilivyokuwa kwa Bison
unazungumzia faru unaweka picha ya bison, au ndiyo tutambue kuwa unaishi north america?
 
Back
Top Bottom