Recent content by SPECIAL TMN

  1. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Nilivyoingiza 17.6M ndani ya mwaka mmoja na nusu, kwa biashara ya Mgahawa kwa mtaji wa kawaida kabisa

    Mkiwa mnaleta uzi kama huu leteni na changamoto zake sasa wewe umetengeneza 17M per year but no challenge you face? Mafaniko ya kibongo jau sana.
  2. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

    Tafuta hela mwanamke hakai mbali na simu.
  3. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB wanaendelea kunikata deni ambapo nilishamaliza kulilipa, nifanyeje?

    Huenda afisa utumishi na huyo meneja kuna namna wachunguzwe
  4. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB wanaendelea kunikata deni ambapo nilishamaliza kulilipa, nifanyeje?

    Umezungumza point sana.
  5. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

    Deni linakopwa tayari upo kwenye movement ila tofauti na hapo lazima ulie tu.
  6. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Ama kweli tunatofautiana , Mfanyabiashara umehaso hatimae una bilioni 10, unaendelea kuhaso kumfurahisha nani ? wengine tukizipata tunastaafu mapema

    Ndo maana tunakuwa maskini 10b ustaafu kutafuta? Anyway tafuta hela 500mb sio za kukaa nazo wiki nzima.
  7. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara ambazo kwa Tanzania nikisikia mtu ameanzisha huwa naishia kusikitika tu!

    Pesa yenyewe imejiwekea mipaka kabisa yaani haiji kwako mpaka ufanye Value creation bila hivyo hamna.
  8. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unajitafuta zima simu, usioe, jitenge, kaa mbali na dini. Utanishukuru baadaye!

    Kuna kuzima simu na mambo yako yakazimika mazima yaani kuzima simu you know exactly what your going to do with the situation, kufanikiwa ni mtazamo wako ukoje ukiangalia kwenye kila aliyefanikiwa alipush button ambayo kwa wengine ilionekana ngumu kwahiyo maisha hayana formula. Mimi nimekuta...
  9. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

    Kujifunza kwa waliofanikiwa ni sawa ila wewe una njia zako pia maana saivi huwezi kuangalizia mtihani kwa mwenzio utaenda kukutana na maswali tofauti na ya kwako kwahiyo komaa na maswali yako huku kama unaangalizia kwa mwenzio incase maswali yako yawe yanarelate na hayo ya mwenzako. Lakini...
  10. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Stahiki ziko pale pale
  11. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Kweli kabisa unachosema.
  12. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Ninafungua Barbershop: Je Vinyozi Walipwe Mishahara au Wakabidhi Hesabu?

    Mkuu umetema nondo sana
  13. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Pape Gueye atangaza kususia Timu ya Taifa ya Senegal kama benchi la ufundi halitabadilishwa

    Kiungo wa Senegal Pape Gueye amechapisha ujumbe kwenye insta story yake akiweka wazi kutitoa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Senegal hadi benchi la Ufundi litakapofanyiwa mabadiliko. "Nitarejea baadae kuwaambia maneno machache kuhusu kutolewa kwetu, lakini leo natangaza kwamba ikiwa benchi...
Back
Top Bottom