Recent content by sparrow

  1. S

    Gari inauzwa Toyota Duet

    Ipo wapi? Dar?
  2. S

    Toyota caldina

    Ok nimeelewa ila bei punguza kidogo maana hiyo kubwa bado. Kama vipi chukua 10m na kesho nije kuiona
  3. S

    Toyota caldina

    Hiyo ndio zile design zenye taa za nyuma km macho ya mamba? Kwa nini unauza?
  4. S

    nauza kiwanja mbeya

    Basi nitakutafuta nije kukiona
  5. S

    nauza kiwanja mbeya

    Makazi mapya au Itezi ipo sehmu gani huko mbeya?
  6. S

    Teenager builds cancer detecting artificial brain

    This is wonderful and good news to fighting cancer
  7. S

    Viwanja vinauzwa amani gomvu kigamboni sqm sh 8,000

    Vipo umbali gani kutoka barabara kuu?
  8. S

    Magic Picture

    Pic ya hiyo sura inatokea kwa mbali km kivuli..ni kweli?
  9. S

    PROJECTORS for sale at CHEAP!

    And whats is the voltage specification?..120V or 240V..
  10. S

    Mkulo afunika Kilosa

    Hapo ni km anamwonyesha JK kwamba hata km amemtpa uwaziri bado anapendwa..huu ni upuuzi sana
  11. S

    Magari yanayohitajika Tanzania

    Gari lolote unaloweza kununua chukua tu ila lisiwe made europe kwani spare zitakusumbua kupatikana na hasa kama ni kitu ambacho hakibadilishwi mara kwa mara. Hata saloon zipo nyingi tu wala wasikutishe ila mini-SUV ni nzuri zaidi in terms of engine, fuel consumption and wakati wa mvua/mashimo...
  12. S

    PayTrade ya tradecarview

    What are the benefits to use "PayTrade"? The following aspects can be benefits to use PayTrade service. The Buyer can receive the item which he/she ordered (If the item is the Vehicle, VIN/Chassis number will be checked by Carview). The Buyer can get refund if the Seller does not ship the item...
  13. S

    Mbeya Golden city hotel - ogopa kabisa hii hoteli

    Moderator umeamua kuiamishia huku kutoka habari mchanganyiko na unanipa idea kwamba naweza kuwashtaki ktk civil court kwa kuwadai fidia..
  14. S

    Mbeya Golden city hotel - ogopa kabisa hii hoteli

    Yaani hata mimi nashukuru sana kwani it seems they got means ku-access chumbani kwa mteja hata akiwa amelala
Back
Top Bottom