Mbeya Golden city hotel - ogopa kabisa hii hoteli

Huo ni uzushi wa hali ya juu,mimi binafsi nilikuwa mby mwezi uliopita na nilifikia hapo mbeya golden city hotel ni hotel nzuri na ya kisasa kabisa na huduma zake ni nzuri sana,ishu ya wewe kuibiwa si sababu ya kuiponda hotel,hata kilimanjaro hotel watu wanaibiwa sembuse mby golden city?,muhimu ni wewe mwenyewe kuwa makini na mali (fedha) ulizonazo,kumbuka adam malima alilala kwenye hotel ya kifahari kabisa pale morogoro akiwa na siraha za moto kama smg lkn bado wezi walimwibia sembuse wewe ambaye hata panga hukuwa nalo?, nadhani kutokana na ushindani mkubwa wa hotel uliopo mby yawezekana ukawa unatumiwa uli kuharibu brand ya hotel hiyo. Mimi nawashauri kwa wanaokwenda mby wasiogope kwenda mby golden city hotel ni mahali pazuri na salama
Nimeshindwa kukuelewa unachotetea. Onyo kama hili ni muhimu sana kwa jamii. Kama unaipenda hii hoteli kwasababu wewe binafsi hujaibiwa usiitetee na kupindisha ukweli
 
Moderator umeamua kuiamishia huku kutoka habari mchanganyiko na unanipa idea kwamba naweza kuwashtaki ktk civil court kwa kuwadai fidia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom