Recent content by soyuz

  1. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Pumnzika kwa amani Balozi Mahiga
  2. S

    JamiiForums Tanzania TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

    Solution is very simple. unahost domain ya .co.tz then unaiderect kwenye ile ya zamani. Hivyo basi unakua na domain zote 2 (.co.tz na .com). Pia gharama ni kama 75,000 tu kwa mwaka
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

    bora wahame bei ya nyumba,viwanja, msongamano upungue
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupaua, wiring na kupiga ripu Dar

    mbao 2x4 900@feet , 2x2 @450@feet bati nimenunua sunshine ofc zao ziko baada ya Tazara ukitokea Bugurun kwa bei ya promo 10,000 per metre
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale anti Kagame?

    wamejichimbia msoga na boss wao
  6. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupaua, wiring na kupiga ripu Dar

    Mkuu, nimepaua mwezi uliopita na nyumba ni 13.8 x12 m. Gharama zilikua kama ifuatavyo 1. Bati (28G IT 5) idadi ya bati 50 na urefu ni 6.15m . Zilibakia bati 3 na vipande vichache 2. Mbao (Treated) 2x4 ya 20ft kwa 110 pcs na zilibaki 3, 2x2 ya 20ft kwa 70pcs zilibaki 8, 1x8/10 sikununua 3...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Halmashauri ambazo hazitakusanya mapato kuanzia 80% nitazifuta

    ni 80% ya lengo la makusanyo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wasusa na kutoka nje, wapata kura 0 na UKAWA 31

    hureeeeeeee......... Pipozzzzzzzzzzz. Viva UKAWA
  9. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla ajibu malalamiko ya wananchi kuhusu sakata la kuwafungia watumishi wachelewaji geti

    andaa fungu kwenye bajeti ya wizara yako igharamie usafiri mfano wa BOT na Idara ya Mahakama etc. Kumbuka usafiri ni changamoto ya 1st kwa hapo jijini
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania hawajui kuuliza maswali

    Mwandishi na mmiliki then swali la hovyo. Bila shaka ukipewa nafasi tena hutorudia kuuliza upuuzi unless iwe ni 'changa la macho'
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania hawajui kuuliza maswali

    Yaan zaidi ya mwezi 1 alikuwa akitafakari kumchagua Nape, Dkt Mwakyembe, Makamba? Kwel wajinga ndio wali......
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania hawajui kuuliza maswali

    Nasikitika sana kwa aina ya maswali wanahabari wetu kuyauliza pindi wanapokutana na viongozi wa kuu wa taifa letu. Mara nyingi huuliza maswali dhaifu, mepesi na pengine wanayo majibu ama yanafahamika. Mfano swali la Manyerere kwa JPM. Tafadhalini sana mjipange ili muweze kuuliza maswali yenye...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    Ni Maustaadhi walichemka tarehe kwenye barua yao ama TRA walinukuu vibaya? Ningependekeza hatua hizo zichukuliwe kwa taasisi nyingine pia
  14. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Beko, Kunduchi

    nipe namba ya simu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

    siyo kwamba watumishi hawasafiri tena bali ni kwa kibali cha KMK Balozi Sefue. Pia ijulikane huwezi kufuta safari zote za nje ni jambo lisilowezekana katu
Back
Top Bottom