Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wasusa na kutoka nje, wapata kura 0 na UKAWA 31

Mameya wetu waanche uchunguzi mara moja na kuwakamata wote waliofanya ubadhirifu hasa pale machinga complex
 
Ccm wataomba mechi ya marudio kama wanavotaka kufanya zanzibar .wanadai siki hizi ukishindwa uchaguzi AWAY unarudia HOME
 
ccm nao wameanza kususa. ningetamani vikao vyote vya manispaa ya ilala wangekuwa wana susa.teh teh...
 
Ajabu na kweli CCM wamepata kura 0 uchaguzi wa Meya na Naibu Meya Ilala.Hii ni aibu kwa chama kikongwe kukimbia uchaguzi na kupata sifuri.
CCM HAWAWEZI KUTOKA NJE LABDA VIVULI VYAO.
SIKU ZOTE WAMEKUWA WAKIWACHEKA WABUNGE WA UPINZANI WANAPOTOKA NJE LEO INAWEZEKANA WAKAKIMBIA? SIKU ITAKAPOKUWEPO TUME HURU CCM WATAPATA WABUNGE WASIOZIDI 40 HASA KAMA INGETOKEA MWAKA HUU IKAWEPO TUME HURU SIJUI KAMA HATA WABUNGE 40 WANGEPATA
 
Sasa ni wazi na ni dhahiri kwamba ccm waliangukia pua uchaguzi uliopita

huu ni mkakati maalaumu kwa ajili ya zanzibar. nitashangaa iwapo ccm watakata rufaa kwani uchaguzi huu umewapa mpenyo wa kutokea zanzibar. uchaguzi utaitishwa na hata ukawa wakisusia wao wataendelea tu na kutolea mfano uchaguzi huu wa ilala.
ukawa wawe macho wasiingie kichwa kichwa huu mtego wa ccm
 
Back
Top Bottom