Gharama za kupaua, wiring na kupiga ripu Dar

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,953
Reaction score
7,002
Naombeni estimated cost za vitu vifuatavyo kwa nyumba ya 14M*10 M box

1.Gharama za kupaua kwa bati za alafu au ado za rangi (Fundi, Bati --gauge 28,Mbao hadi kumaliza)
2.Estuimated Gharama za kupiga ripu
3.Estimated Gharama za kufanya wiring had kumaliza
4.Estimated Gharama za kupiga tiles .

Asanteni kwa kunipa uzoefu kwa hali ya sasa
 
Asanteni nyote.Ngoja tuendelee kupata uzoefu kwa wadau. Mtu akiweza anaweza kuweka picha ya kitu anachosema

NENDA FACEBOOK JIUNGE NA GROUP LINAITWA UJENZI ZONE KUNA KILA KITU NA MAFUNDI WAMO HUMO HADI MAINJINIA
 
Kuna mtaalamu tunae humu wa kupiga lipu na bei zake ni nafuu anaitwa @yerico
 
Mkuu nimetoa ushauri mwingi kuhusu aina za mabati na jinsi aina ya bati inaweza kushusha au kuongeza gharama na hii ni kutokana mpangilio wa mbao yaani ubao hadi ubao mfano bati la old profile na new profile yanatofautiana katika mahitaji ya mbao na uezekaji wake. Natamani kutoa ushauri kwa maswali yako but mda sio rafiki kuandika na kujibu ukiona ni muhimu piga hii no 0679845165 utashauriwa na kujifunza mengi hadi rangi
 
Naombeni estimated cost za vitu vifuatavyo kwa nyumba ya 14M*10 M box

1.Gharama za kupaua kwa bati za alafu au ado za rangi (Fundi, Bati --gauge 28,Mbao hadi kumaliza)
2.Estuimated Gharama za kupiga ripu
3.Estimated Gharama za kufanya wiring had kumaliza
4.Estimated Gharama za kupiga tiles .

Asanteni kwa kunipa uzoefu kwa hali ya sasa
Kwa ushauri wa bure piga 0679845265 muda wa kuandika ni mdogo
 
asanteni naendelea kusubiri ushauri kutoka wadau mbalimbali
 
Kwa upande wa paa estimated materials na cost ni kama ifuatavyo:
-Bati 90 zenye urefu wa 3mt @28500 (this is according to your choiece i.e 28g araf)
-Mbao: Treated
4*2-110pcs za urefu wa>20ft
2*2-60pcs pia za urefu wa 20ft
1*8/10-18pcs zenye urefu wa 12ft
NB: futi 1 ya 4*2 ni 980, 2*2 ni 480 na 1*10 ni 18500, bei hizi ni kwa dar.
Labour charge 1.2m
Tiles: Hapa itategemea na quality utakayo i.e china or spain lakini inarange 15000-60000/sqm
Labour charge 4500-7000/sqm kutegemea na fundi
Kuhusu plaster/ripu inahitaji kuonyesha floor plan ili kujua idadi ya vyumba/partitions pia same to wiring ili kujua no of switches, lights etc.
 
Kwa upande wa paa stimated materials na cost ni kama ifuatavyo:
-Bati 90 zenye urefu wa 3mt @28500 (this is according to your choiece i.e 28g araf)
-Mbao: Treated
4*2-110pcs za urefu wa>20ft
2*2-60pcs pia za urefu wa 20ft
1*8/10-18pcs zenye urefu wa 12ft
NB: futi 1 ya 4*2 ni 980, 2*2 ni 480 na 1*10 ni 18500, bei hizi ni kwa dar.
Labour charge 1.2m
Tiles: Hapa itategemea na quality utakayo i.e china or spain lakini inarange 15000-60000/sqm
Labour charge 4500-7000/sqm kutegemea na fundi
Kuhusu plaster/ripu inahitaji kuonyesha floor plan ili kujua idadi ya vyumba/partitions pia same to wiring ili kujua no of switches, lights etc.
for more elaboration pls check on +255656751334

Asante kwa ufafanuzi huu.Naomba wengine na uzoefu wao waendelee kutoa elimu ili kupata mwanga wa nini kifanyike
 
Mkuu, nimepaua mwezi uliopita na nyumba ni 13.8 x12 m. Gharama zilikua kama ifuatavyo

1. Bati (28G IT 5) idadi ya bati 50 na urefu ni 6.15m . Zilibakia bati 3 na vipande vichache
2. Mbao (Treated) 2x4 ya 20ft kwa 110 pcs na zilibaki 3, 2x2 ya 20ft kwa 70pcs zilibaki 8, 1x8/10 sikununua
3. Fundi ilikua 2.1m kwa kazi ya kupaua
 
Attachments

  • 20160323_165459.jpg
    20160323_165459.jpg
    196.8 KB · Views: 1,083
Mkuu, nimepaua mwezi uliopita na nyumba ni 13.8 x12 m. Gharama zilikua kama ifuatavyo

1. Bati (28G IT 5) idadi ya bati 50 na urefu ni 6.15m . Zilibakia bati 3 na vipande vichache
2. Mbao (Treated) 2x4 ya 20ft kwa 110 pcs na zilibaki 3, 2x2 ya 20ft kwa 70pcs zilibaki 8, 1x8/10 sikununua
3. Fundi ilikua 2.1m kwa kazi ya kupaua

Ok asante. Naona nyumba yako ni kozi 13 na siyo 12 kama wanavyoshauri baadhi ya mafundi. So hivyo jula hapo imekula kama Milln ngapi?
 
Ninachoweza kukushauri kwa haraka tu kuwa kuna fundi wa kupaua nyumba kama yako kwa 1.2m aina na style yeyote ya bati uipendayo. 0752489529
Hongera kwa kujenga!

Naombeni estimated cost za vitu vifuatavyo kwa nyumba ya 14M*10 M box

1.Gharama za kupaua kwa bati za alafu au ado za rangi (Fundi, Bati --gauge 28,Mbao hadi kumaliza)
2.Estuimated Gharama za kupiga ripu
3.Estimated Gharama za kufanya wiring had kumaliza
4.Estimated Gharama za kupiga tiles .

Asanteni kwa kunipa uzoefu kwa hali ya sasa
 
Ok asante. Naona nyumba yako ni kozi 13 na siyo 12 kama wanavyoshauri baadhi ya mafundi. So hivyo jula hapo imekula kama Milln ngapi?

mbao 2x4 900@feet , 2x2 @450@feet
bati nimenunua sunshine ofc zao ziko baada ya Tazara ukitokea Bugurun kwa bei ya promo 10,000 per metre
 
Back
Top Bottom