Recent content by souvenir

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa

    Pole sana,umesoma nini na umefaulu kwa kiasi gani na uwezo wako ni upi?umefikiria kufanya kazi ingine zaidi ya ulichosomea?kama una imani umefanya maombi maalumu kupata kazi?unaweza kuendelea na degree ya plili kama una uwezo huku unaendelea kutafuta
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume stress tupu!!

    Ni mwanammke lakini nilivyo na kinyaa hata kwa mwili wangu tu.du
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na kudai talaka . . . . . . .

    swali la kizushi Eiyer naona story zako nyingi ,nilikuwa kijiweni ,nilienda kumtembelea rafikinilimsindikiza hivi mwaume mwenye kazi serious anapata wapi huu muda?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na kudai talaka . . . . . . .

    Absolutely!!!you have kick it man .yani hata me huwa nawapa kubwa ofisini kwa kuwaeleza ni bora me achelor nimetulia kuliko wao wana ndoa lakini wana mahawara kila kona.ukweli mostly wanaolewa/oa kwa presure za jamii
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania good girl....wife material

    hata wavulana wa jf sio kabisa kabisaa
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

    nakuona hapo chini haya tuambie uhunzi wako tangu januari umetengeneza koleo sio "mwiko" ngapi?
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    baba mbona mapovu yamekutoka na kashfa juu,hata unngesema lolote baya juu yangu kama silifanyi haliniumizi kichwa wala halitahalalisha mimi kuwa harlot ,nilimwacha and am no longer interested kwa kifupi mwache uchafu.kwani mnaposemaga wanawake kila kukicha humu mmelala nao wote?mgd understood.avoir
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    tena kwa taarifa ni watu wamaana ambao ukimwangalia mara mbili unajiuliza is this true?barabarani?!hivi wapi wanatakiwa kukutana na kuanzisha uhusiano?
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    we ndo unatakiwa kulazwa mwaisela eti hakuna mwanaume mkojo utamguj?!you are kidding guy.kwanza mmezoea kurudia chupi me nilimpiga jamaa chini kwa ajili ya mikojo nilishika chupi kunusa karibu nitabike hlf mtu anakwambiaa ushike mick mmezidi
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wa Tanzania wanaoishi Botswana hawafai hata kidogo

    kama una izo mali kwa nini walikukataa?sizitaki mbichi hizi nani anataka shida
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wadada na wamama tu

    sasa huo mkono wa mtotot utatamanije mnato?
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa msichana aliye serious, anayehitaji kuingia kwenye ndoa baada ya kuridhiana soma hapa

    kote hujapata unataka mke wa mtandaoni?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    hujapata kote ulikopita
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for a woman

    Labda awe pagani manake nina uhakika dini zote zinaprohibit fornication
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta rafiki wa kike kwa kuwasiliana nae

    kanisani .msikitini ,kazini hujawaona au umechezewa sana
Back
Top Bottom