Wanawake na kudai talaka . . . . . . .

Ni kama wiki mbili hivi nimekuwa nikienda mahakamani kumsindikiza jamaa yangu mmoja aliekuwa anafuatilia mambo fulani pale mahakamani.

kila siku nilipokuwa naenda pale nilikuwa ninabahatika kusikiliza kesi kadhaa kabla ya muda wetu wa kuwa pale mahakamani kwisha,na hapo ndipo nikakutana nahili swali,
asilimia 80 ya kesi za kutaka kutengana kati ya wanandoa ambao wamepeleka kesi yao pale mahakamani ni wanawake ambao wanataka kuvunja ndoa hizo.Ni kwa nini?

Je wanawake wamechoka n
*****************************

watu kushindwa kutimiza majukumu yao kwenye ndoa ndio sababu ya watu hasa wanawake kuomba talaka kila leo.watu wana sahau ni jukumu la mume kumtunza mke ata kama ana pesa za kujitunza!
Wanawake kupigwa kila leo ndio uwa sababu pia ya kuomba talaka,mtu ana mgeuza mwenzie ni ngoma sasa kama mtu ajazoea kupigwa kama punda ana ona suluhu ni kudai talaka. Na ukiona mtu mpaka ana dai talaka mara nyingi amechoka kuvumilia kabisa.

Swala la kushindwa kuvumilia hali ngumu ya maisha pia uwa fanya wanawake wengi kudai talaka, sasa una kuta maisha magumu na bado kila leo ana pigwa,hakika lazima adai talaka.

Tatizo la uzinzi hili pia lina kuwa sababu ya kudai talaka baini ya wanawake wengi na hii utokea baada ya uvumilivu kuwashinda.

Watu wana sahau kuwa ndoa inatakiwa ilindwe na watu wote!
 
Ishu ni kuwa Life imekuwa vry Uncertain, mimi my X alikuwa meneja wa kampuni flani, juzi nimekutana nae ananipiga mzinga wa buku la vocha ikabidi nimrefund old investment kwa kumkatia Kilo, akaipokea kama M 100!!!!!!

Bottom line ni kuwa Watu tuna expectations zetu, kama mimi nafight nijikwamue, hata nikimpata mwenzangu TUWE JUU YA WAZAZI WANGU WALIPO!!!!! Sasa unapoolewa afu mambo kwenda mrama, mwanaume anageuka liabily badala ya asset, plus MAMBO YAO YALEEE YA KUCHEAT!!!!! Not to mention DAMAGED EGO! na INFERIORITY COMPLEX ya kushuka kimaisha.(Bora uolewe na maskini kuliko tajiri aliyefilisika) Sasa hapo UVUMILIVU HAKUNA!!!!!!!!!!!! Ungekuwa una MBESA n ya cheating on me NANGANGANA HAPO HAPO KAMA LUBA, Otherwise you can go to hell!!!!!!

Kingine ni MAMBO LEO! Hata ukiachika una probability ya kuolewa tena na mzee mwenzio. Hivo watu hajikamui sanaa kukomaa walipo.

Sheria pia zinatubeba, Jitu linaleta za kuleta wakati YOU CAN CHOP HALF OF HIS FORTUNE N LIVE HAPPY EVER AFTER!(WITHOUT HIM OFCOURSE) His poor As! Unauhakika ukikinukisha PASU BIN PASU!!!!!!!! Inanifurahishaga sana hili, umekuja na Rambo!! Ukiondoka waondoka na Nyumba 2 na gari juuu. Chezeya!!!!!!!!
 
Jamii inalazimisha watu kuoana.

Ukiwa single utasikia watu wanakuuliza bila aibu "utaoa lini". Ukiwa single hata kama unajiheshimu vipi unaonekana una mapungufu. Wakati mabazazi waliooa/kuolewa wanaheshimika kwa kuwa wako katika ndoa tu, hata kama hawajiheshimu.

Absolutely!!!you have kick it man .yani hata me huwa nawapa kubwa ofisini kwa kuwaeleza ni bora me achelor nimetulia kuliko wao wana ndoa lakini wana mahawara kila kona.ukweli mostly wanaolewa/oa kwa presure za jamii
 
swali la kizushi Eiyer naona story zako nyingi ,nilikuwa kijiweni ,nilienda kumtembelea rafikinilimsindikiza hivi mwaume mwenye kazi serious anapata wapi huu muda?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kwa mujibu wa kesi nilizohudhuria........
Eiyer mdogo wangu mbona sample size ulotumia ni ndogo sana?? isikufanye uka draw conclusion. anyway ni 80% kati ya kesi 20 ulizohudhuria wewe, je wafikiri hii inatosha kusema kwamba wanawake ndo tatizo ama wanaume??

je wafikir kama kweli things are not working why shld women tolerate?? sioni sababu ya kuish kwa mateso sana ingawa kanuni yangu ni kuitetea ndoa kwa gharama yyte ile na ikifika nimeshindwa basi nitaangalia invested cost na nitaweza kuirecover vip then i look for the way forward.
 
Last edited by a moderator:
Ishu ni kuwa Life imekuwa vry Uncertain, mimi my X alikuwa meneja wa kampuni flani, juzi nimekutana nae ananipiga mzinga wa buku la vocha ikabidi nimrefund old investment kwa kumkatia Kilo, akaipokea kama M 100!!!!!!

Bottom line ni kuwa Watu tuna expectations zetu, kama mimi nafight nijikwamue, hata nikimpata mwenzangu TUWE JUU YA WAZAZI WANGU WALIPO!!!!! Sasa unapoolewa afu mambo kwenda mrama, mwanaume anageuka liabily badala ya asset, plus MAMBO YAO YALEEE YA KUCHEAT!!!!! Not to mention DAMAGED EGO! na INFERIORITY COMPLEX ya kushuka kimaisha.(Bora uolewe na maskini kuliko tajiri aliyefilisika) Sasa hapo UVUMILIVU HAKUNA!!!!!!!!!!!! Ungekuwa una MBESA n ya cheating on me NANGANGANA HAPO HAPO KAMA LUBA, Otherwise you can go to hell!!!!!!

Kingine ni MAMBO LEO! Hata ukiachika una probability ya kuolewa tena na mzee mwenzio. Hivo watu hajikamui sanaa kukomaa walipo.

Sheria pia zinatubeba, Jitu linaleta za kuleta wakati YOU CAN CHOP HALF OF HIS FORTUNE N LIVE HAPPY EVER AFTER!(WITHOUT HIM OFCOURSE) His poor As! Unauhakika ukikinukisha PASU BIN PASU!!!!!!!! Inanifurahishaga sana hili, umekuja na Rambo!! Ukiondoka waondoka na Nyumba 2 na gari juuu. Chezeya!!!!!!!!

Mh unatutisha eeh.. Subiri tuwawekee vikao nyie...
 
Good observation, kwamba wanawake ndio wanaoomba talaka zaidi.

Mimi naona ni dalili ya kujikomboa kifikra, well done A.Nkya n the pack.
 
Dah! lara 1 ,hivi mwanaume ni aset eeeh!Nilikua sijui hii!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna sababu yoyote ya msingi kung'ang'ania kuendelea kuishi ndani ya ndoa ambayo imekufa, iko hai mbele za macho ya watu but ndani ya nyumba hakuna kitu.

Miaka ya sasa ukatili baina ya wandoa umeongezeka kwa kasi na hii yote ni kwa sababu ya vumilia vumilia zisizokuwa na tija.
Hakuna haja ya kusubiri mpaka mwenzi wako akuue au akufanyie ukatili wa ajabu ambao unaweza kuharibu kabisa maisha yaliyobakia.

Kama mapenzi yameisha kabisa, suluhu zimefanyika zimeshindikana. Umevumilia, Umeipigania ndoa yako iendelee kuwepo imeshindikana. Chapa zako lapa .. Ukale maisha. Kuvunjika kwa ndoa sio mwisho wa life.

People we only live onceeee only onceee .. Raha jipe mwenyeweee.
 
Good observation, kwamba wanawake ndio wanaoomba talaka zaidi.

Mimi naona ni dalili ya kujikomboa kifikra, well done A.Nkya n the pack.

Well said! Zamani kina mama wengi walivumilia saaaaana yani saaanaaa. Coz walikuwa tegemezi kwa kiasi kikubwa, hivyo akitoka maisha yatakayofuata ni kizungumkuti.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaunga na neggirl kwanini mnahusisha kudai talaka na kunyanyaswa?
Inawezekana kukawa na uhusiano kwenye mambo hayo mawili,lakini hamuoni tu kuwa kudai talaka nako ni unyanyasaji?
Hamuoni kuwa inawezekana mwanamke akawa hanyanyaswi lakini akawa na sababu zake nyingine za kudai talaka?
 
Last edited by a moderator:
swali la kizushi Eiyer naona story zako nyingi ,nilikuwa kijiweni ,nilienda kumtembelea rafikinilimsindikiza hivi mwaume mwenye kazi serious anapata wapi huu muda?

Hahahahha!

Umestuka eh? Jamaa ni bonge la mtaalam wa kutengeneza fiction na kutuuzia mbuzi kibudu kwenye kiroba ionekane reality.

Wajanja tusahmstukia siku nyingi na gfsonwin kampa shule flani hivi kama ataifuata at least next time atakuwa makini kwenye kutuuzia vibudu.
 
Last edited by a moderator:
wanaume ni wanyanyasaji wakubwa sana kwa wanawake utakuta mtu kajituliza jamaa ndio moto umepamba .wanawake mkitkla talaka mahakamani bila usumbufu semeni walikuwa wanataka kuwafira utapewa talaka yako fasta lol

oh my god......
 
Back
Top Bottom