good girl....wife material

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
hello wana jamiiforum..mimi ni kijana wa miaka 28..nina elimu ya chuo kikuu...ni mkiristu...ni mrefu..rangi somehow black.


natafuta rafiki wa kike ili baadae Mungu akipenda awe mke wangu....umri wake usizidi miaka 28...elimu yoyote...dini yoyote..

naitaji mtu ambae kweli yuko tayari kuanza maisha ya ndoa Mungu akijalia,kutokana na mipango niliyojipangia nafikiri sasa ndio wakati muhafaka wa kuwa na serious relationship...So naemuitaji ni msichana serious anayejitambua na mcha Mungu.

aliye tayari tuwasiliane kwa PrivateMessage.

wote mtajibiwa!!
 
Kulikoni tena?

ni story ndefu ndugu yangu.nilifanikiwa kupata mtu kwenye hii thread lakini nilimshindwa aisee kumbe umu kumejaa wanawake wenye tamaa(golddiggers)..
Kanipotezea muda wangu tu
 
ni story ndefu ndugu yangu.nilifanikiwa kupata mtu kwenye hii thread lakini nilimshindwa aisee kumbe umu kumejaa wanawake wenye tamaa(golddiggers)..
Kanipotezea muda wangu tu

Pole sana mdogo wangu..! Wanaume wanawalalamikia wanawake, na wanawake wanawalaumu wanaume..! Panapo wengi kuna mengi..! Endelea kuomba tuu iko siku utafanikiwa..! Kila la heri..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom