Recent content by southern

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi za selcom paypoint

    nashukuru sana wakuu, nimewapata. mbarikiwe sana.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi za selcom paypoint

    thanx mkubwa, be blessed.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi za selcom paypoint

    Wadau, naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za selcom paypoint kwa hapa Dsm. natanguliza shukurani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanunuzi wa Graphite.

    subiri wachina au mawakala wao watakuja mda si mrefu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Pata bajaj toyo mpya t 326 cdv ya mizigo

    hiyo bei ulotaja ni ya mpya dukani, nenda kishen (agent wa toyo) anauza toyo guta kwa 3.1 mil kama vipi mi nikupe 2.8 mil
  6. S

    JamiiForums Tanzania miaka 48 ya muungano, je kero za muungano zimatatuliwa...

    suala la muungano ni utata mtupu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    leteni updates, huku nachingwea washachukua umeme wao
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msiba: Nachingwea t.t.c

    pole familia ya Anna, pole wanachuo na na uongozi wa chuo nachingwea ttc
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hebu tukumbushie tuliozaliwa miaka ya sabini na....

    sie wa kusini tulikuwa na mabasi yetu maarufu TITICO na MALOLOTA, kuna wakati basi la MALOLOTA lilipotea na abiria wote kijiji cha MANDAWA RUANGWA, likaja kuonekana baadaye.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

    tupatie sera na ahadi za sioi kwa wana arumeru
  11. S

    JamiiForums Tanzania From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

    tunasubiri updates...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wakinababa Duniani

    haki sawa, majukumu kwa wote
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mozilla firefox

    WADAU, kwa yoyote yule anaejua link ambayo naweza pata mozilla firefox kuanzia version 10 na kuendelea naomba anisaidie, nimejaribu ku'google nikapata but ninapo'download zina'fail... msaada plz
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu ina'ganda ninpofungua web

    baba mtu, dav22, biohazard na ikindo nashukuru kwa ushauri wenu, nitaufanyia kaz the nitawapa feedback
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu ina'ganda ninpofungua web

    natumia mozilla firefox
Back
Top Bottom