Recent content by Southern Highland

  1. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Hivi, nini huwa kinatakiwa kuanza kati ya hivi ukiamka asubuhi?

    Sijaona ratiba ya mazoezi hapo
  2. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi au ni jina la mtu...?

    Mmepelekewa moto mpaka hamuamini kama ile ni nchi😂😂 Sawa ni jina kaendelee kuwachokoza uone balaa lao. Taifa Teule
  3. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Let’s communicate in code.

    Madako yenu nyie
  4. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Yanga Haijapata Kocha. Engineer Hersi Mwombe Msamaha Gamondi Arejee Jangwani

    Makolo bado jamjasema. Huu ndio kwanza mwanzo
  5. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume unanunua na Kwanini mwanamke unauza

    Scarcity of resources (Wanunuzi wamekosa option) No Government support (Wote) Lack of capital (muuzaji) Lack Education (wote) Moral decay (Wote)
  6. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Yanga ina watu serikalini lakini inatoa boko

    Yanga kaboronga wapi we kolokwinyo?
  7. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Arsenal acheni Masihara bwana!

    Niliwahi kuandika theard kuhusiana na hawa BHA. Jamaa wako vyema sana
  8. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya msingi Yanga kuchagua St.George ya Ethiopia na uwanja wa uhuru kabla ya darby ya kariakoa ya Oktoba 10, 2026

    Hizi comments za mashabiki wa ukolo zinanifyrahisha sana. Ni swala la muda hasa baada ya mechi hapo Oktoba nitapenda kuwasikia tena.
  9. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huu msimu kinaturamba aseeh. Wachezaji tunao kipengele kilichobaki ni kocha tu kulegeza fuvu
  10. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Kwa wakamalia tu uko EPL mnatakiwa kuwatazama vizur hawa Man U, Man City, Liverpool na Chelsea

    Unapoandika jina lolote jitahidi anza na herufi kubwa na ujitahidi ujue usahihi wa jina hilo. Manchester United (Man U), Manchester City (Man City), Liverpool, Chelsea.
  11. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Double Striker
  12. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hawezi kuwa fit sana. Apate mechi nyingi hata mpaka mwezi wa 12
  13. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Katika taarifa zimenifurahisha ni kuona Misha amejiunga mazoezini na timu yetu. Baada ya muda mrefu wa misukosuko sasa tutegemee kumuona uwanjani anakiwasha kama kawaida. Nimefarajika sana
  14. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Miaka ya 2009 mpaka kuja 2013 nakumbuka kanda ya ziwa kulikua na ligi za kina Super Najimunisa na Allys Star Bus. Halafu luxury zilikua Mohamed Trans na Mombasa Raha hizo zote Dar-Mwanza.
Back
Top Bottom