Recent content by SOSTENESS

  1. S

    JamiiForums Tanzania Qt na mtihani wa form 4

    Hey wana JF nina mdogo wangu kafanya mtihani wa QT amefeli, eti hawezi kuruhusiwa kufanya mtihani wa form 4. naomba mnijuze.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mtaalam wa kufundisha masomo ya ujasiriamali

    Kwenu JF members. Tunahitaji mtaalam mwenye uwezo wa kufundisha namna ya kutengeneza sabuni ngumu, sabuni ya maji, sabuni ya Unga, na mengineyo kwa manufaa ya watu wanaotaka kuanza kujiajiri ila utakacho fundisha kiwe kwenye viwango vinavyo kubalika. Kama ni mtaalam ni inbox kwenye email...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania 160 wanyongwa China jana

    Kwanini sheria hiyo ya kuwa nyonga wanao fanya kazi hizo isiwepo na hapa nchini. Kama haiwezi pitishwa basi wanao pitisha muswada wa sheria wanaitegemea sana biashara hiyo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    "Ikumbukwe kwamba, nimepita bila kupingwa kwa vipindi vitatu mfululizo (2000, 2005 na 2010)" UKITAKA KUELEWA HAPO NI KWAMBA HAKUTAKA KUSEMA PESA ALIZO WAHI KUMPA MBOWE, MAANA YAKE NI KWAMBA ALIPITA BILA KUPINGWA KWA SABABU ALIKUWA AKIMPA MWENYE KITI FEDHA ILI WASIMLETEE UPINZANI KATIKA JIMBO...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Wana JF naomba muelewe sasa kile alichokisema Zitto Kabwe Zuberi kutaka ukaguzi wa hesabu za vyama zifanywe na CAG na kuwasilishwa kwa msajili wa vyama ni kwanini? pesa hizo alizopewa mwenyekiti toka kwa Mkono ni dhahiri kuwa alitaka zionekane ndani ya hesabu na matumizi ya chama, sasa pesa hizo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo na dawa ya jasho la kwapa na harufu mdomoni

    nasukuru je itaponya moja kwa moja au ni kutuliza tu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo na dawa ya jasho la kwapa na harufu mdomoni

    Nawaombeni msaada JF Doctors tafadhali, mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 ana tatizo la kutoa harufu kwapani, nimejaribu kumnunulia ANTI RESPIRANT aina nyingi hazimsaidii, akiacha tu kutumia siku 3 harufu ipo pale pale, nimemnunulia dawa za meno pharmacy zinazotoa harufu mbaya mdomoni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

    Jamaa yangu hawa dada zetu na wadogo zetu wa kike sasa hivi wanaishi kwa kuiga wanavyoishi wengine, ila hawajui pesa hizo wenzio wanako zipata huenda wanazipata kwa muda ila arobaini ikifika ndo mwisho, dada zetu na wadogo zetu wanataka nao wawe up to date na wajitahidi kuujenga mwili kidogo kwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mke jamani nahitaji sana

    kama yupi labda awe na mototo mmoja
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mke jamani nahitaji sana

    Lady we acha tu, nlikuwepo ila nlijaribu kuwa karibu sana na elimu na kuamua nioe nikisha maliza hatimaye nimesoma hata zaidi ya diploma ila sijafanya mitihani 2 nimalizie kabisa nikaona nimechoka sasa nioe tu sina jinsi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mke jamani nahitaji

    Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya kati au mrefu, elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea, asiwe na tamaa ya pesa, awe tayari kwenda...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mke jamani nahitaji sana

    Charminglady, nlitangaza jana wamenishauri kwa kunipa sababu za msingi kuusu vigezo mojawapo nimeondoa sasa nahitaji kwakweli.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mke jamani nahitaji sana

    Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya kati au mrefu, elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea, asiwe na tamaa ya pesa, awe tayari kwenda...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke

    Hapana akiwa na miaka 42 atazaa watoto 3 ndani ya miaka 6 then ata stop atakuwa bado hajafika 50 yrs
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke

    Mueleze aandike na aeleze sifa zake.
Back
Top Bottom