Mke jamani nahitaji sana

Mke jamani nahitaji sana

Lady we acha tu, nlikuwepo ila nlijaribu kuwa karibu sana na elimu na kuamua nioe nikisha maliza hatimaye nimesoma hata zaidi ya diploma ila sijafanya mitihani 2 nimalizie kabisa nikaona nimechoka sasa nioe tu sina jinsi.
jibu kwanza swali, ulikuwa wapi?
 
ivi wewe muda wote ulikua wapi?yaani umefanyanya uzinz miaka yote bila aibu wanaokujua wamekuchoka unakuja kutafuta huku!hacha izo we mbabu
 
Mweeh pole sana jamani..
Lady we acha tu, nlikuwepo ila nlijaribu kuwa karibu sana na elimu na kuamua nioe nikisha maliza hatimaye nimesoma hata zaidi ya diploma ila sijafanya mitihani 2 nimalizie kabisa nikaona nimechoka sasa nioe tu sina jinsi.
 
ivi wewe muda wote ulikua wapi?yaani umefanyanya uzinz miaka yote bila aibu wanaokujua wamekuchoka unakuja kutafuta huku!hacha izo we mbabu

anasema alikua anatafuta elimu kwanza ila ni diploma tuu khaaaa!
 
Ndio ulitakiwa useme yote hayo,haya wamesikia natumai wenye kuvutiwa watajitokeza!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mh jamani naomba mnijuze limit ya miaka ya kuhitaji mwenza. Mi nilidhani hamna limit maana wenye kuanzia miaka 35 na kuendelea wanabezwa. Mi nadhani mwaka 2014 tuanze na fursa sawa kwa wote!!
 
Daaah umri huo kama bado ghairi tu mkuu ule maisha... Ndoa nazo sio ishu kiviiile!
 
hapo kwenye hela jamani umenikatisha tamaa!mambo ya kwa shida na raha waliweza baba zetu na mama zetu,,mhhhh mie siwezii jamanii! no money....no honey... teh teh
 
Yaani mkuu una miaka 37 na unataka kumuowa mwanamke wa miaka 40? Hutaki watoto au mtoto? Nakushauri uowe wa miaka 20-35,mbona wazungu wana miaka 85 na wanaowa mabinti wa miaka 17 hapa tz? Usijichoshe mkuu tafuta dogodogo.
 
kwani mfungo wa ramadhani umekaribia?
 
Tatizo humu wamejaa masharobaro, sasa hata maisha hawajui... Kila mtu ana haki ya kuoa au kuolewa katika umri wowote... Acheni umburura.
 
Uko sawa mkuu elimu kwanza si unajua tena ndoa za siku hizi magumashi tu, sema umekosea kutafutia mke humu
 
apime mara tatu,kisha utakua unamfungia ndani asiupate?.

Nadhani umekua unasita kuoa juu ya kuogopa sana ukimwi(ukimwiphobia).
Ukimwi haupo ni imani tu.
hahahhahahah eti ni imani tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom