hivi inchi ndogo kama Zanzibar inahitaji serikali kubwa kiasi hiki? na nani anaye walipa hao viongozi na gharama kubwa za kuendesha serikali? watu wa bara! mimi naona sio fair kabisa
wanakaa kuponda kumbe hata hawajui kuwa kazi ya baraza la mitihani ni kutunga kusimamia na kusahihisha mitihani pamoja na kutoa matokeo. clouds wamezidi naapa sijawahi tanzania hii kusikia redio station inayoitetea serikali kama clouds fm yaani mpaka inakera. kwa waliosikiliza jana jioni...
kama ni kweli huu ni waraka wa hao wanaojiita wanauamsho basi nafikiri tumefika pabaya sana. ila napenda kuwaambia jambo moja kuwa sisi sote ni watanzania na hata wanaaowaita makafiri wameumbwa na mungu huyohuyo wanayemwamini wao tena hao wanaowaita makafiri wanao uwevo vilevile wa kujilinda na...
raisi ataendeleakusema amepokea kwa mshtuko sana habari kama hizi maana naamini hii sio mara ya kwanza au ya mwisho kwa jambo kama hili kutokea, tunamuomba rais achukue hatua mathubuti dhidi ya wahusika maana watu wanaoenezaa chuki zakidini wanahubiri hadharani mara nyingi. tatizo ni kuleana au...
halafu sio kwamba bunge limejigeuka ila kuna watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri tena wenye mawazo ya kiizamani ambao walitaka kuyaleta hayo mawazo ya kizamani katika dunia ya sasa. ila nashukuru tuna watu jasiri na welewa katika bunge letu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.