Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Tatizo ni Kamera Bungeni
wa jana upi? kuna mtu alipost picha inayumuonesha ndugai akifanya kama hivi?
mmhh huwezi jua labda alikuwa chimbo anakula training aingiajehuyo binti uliye m-quote amekuja kwa kasi sana jamvini, kaingia septemba 9 ila ana posts kibao
Sasa mheshimiwa naibu spika anasoma sms huku wabunge wanachangia kuna umakini kweli? Na kwa nini asome kwa kujificha kama ni sahihi? Tafakari.......
View attachment 112281
Sasa mheshimiwa naibu spika anasoma sms huku wabunge wanachangia kuna umakini kweli? Na kwa nini asome kwa kujificha kama ni sahihi? Tafakari.......
View attachment 112281
Tatizo ni Kamera Bungeni
kamera zcngekuwepo ungelijua hili?...
sasa kama anajijua huwezi kuongoza bunge kwa nini aligombania kiiti???SMS ya kuwaita Polisi wa bunge waje kuwakomesha akina Sugu na wenzake