Recent content by soso

  1. soso

    JamiiForums Tanzania Yoweri Kaguta Museveni: We were gaining the grounds of Kampala, lead by Colonel Mahfoudh

    thread ikianza na pasi ndefu ndefu za hawa wakuu huwa inakuwa murua sana… ngoja nivute siti na kuandaa popcorn!
  2. soso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gari ilivunja mahusiano yangu na huyu binti

    Vipi mkuu… karma ilishafanya yake ama bado unasubiria?
  3. soso

    JamiiForums Tanzania Kisima cha kutunzia maji ya mvua

    Hivi kwa mfano ukiamua kujenga tanki la juu ya ardhi na kulifunika, say kwa ujazo huo huo - gharama haziwezi kuwa nafuu Zaidi?
  4. soso

    JamiiForums Tanzania Kisima cha kutunzia maji ya mvua

    we jamaa bora Mungu akuchukue tu:D:p
  5. soso

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

    Duh! Poleni sana Arusha Wing, pole kwa familia na JF kwa ujumla!
  6. soso

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

    Rest in peace uncle Ben..
  7. soso

    JamiiForums Tanzania Swali: Hivi Lowassa na Sumaye walirudisha kadi ya CCM?

    Nimependa thinking ya!ko! wametumwa kuchunguza makinikia eeh!
  8. soso

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea ripoti za Bunge kuhusu Almasi na Tanzanite, awataka wateule wote waliotajwa wakae pembeni

    Naamini context ya mazungumzo ya mkuu imelalia namna tulivyodukua data, emails etc za wale wa dhahabu..
  9. soso

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    .. Kweli JF kiboko! Jumapili imeanza vyema kabisa
  10. soso

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Nimemsamehe Zitto lakini sitamsahau

    ... you made my day!
  11. soso

    JamiiForums Tanzania Bujibuji na Boflo wana Vitambi vikubwa

    Labda ngoma ya zamani... hii ya siku hizi watu wanang'oka na vitambi vyao!
  12. soso

    JamiiForums Tanzania Full tutorial: Tengeneza Paypal na link na kadi yako ya benki

    very useful stuff, indeed.
  13. soso

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Toka mpiga debe hadi Naibu waziri

    Mijitu mingine bana... yaani sredi inakwenda vizuri yenyewe inaharibu hali ya hewa. Sasa haya mambo ya simba jana yanakujaje, acheni machungu ya watu yapungue bana...:angry:
  14. soso

    JamiiForums Tanzania Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Niliwahi pata nyepesi kwamba wakati huyu bwana mukubwa akiwa katibu mkuu afya, aliwahi kwaruzana na 'nguli' moja pale wizarani ambaye aliaminika kuwa mtu wa system... kilichotokea ni kwamba mmoja alimwaga mboga na mwingine akamwaga ugali, wote wakang'oka; Mukama akapelekwa jiji mwingine...
Back
Top Bottom