Swali: Hivi Lowassa na Sumaye walirudisha kadi ya CCM?

Swali: Hivi Lowassa na Sumaye walirudisha kadi ya CCM?

Sumaye na Lowassa ni askari waliotumwa kufanya kazi na adui
 
Labda nahisi

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Siyo lazima kurudisha kadi ya chama, kwan ww haujawahi mwenda kwenye mechi ya mpira wa miguu na jezi mbili za timu tofauti, wakifungwa hawa unavaa jez yao, and viseversa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom