Recent content by Sosinsa Unswe

  1. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga tena simu Clouds, amsifu Diamond na kusema atashughulikia kero za wasanii

    Kwahiyo watu wanaokeshs Dar ni walevi peke yao?watu wengine wanatoka night shift wakale wapi na baa zimefungwa kama sio kwa wauza kihepe?mtaani na joto hili mtu anakaa barazani anapiga stori njaa ikiuma anaenda kwa mgosi kutia zege.hii ni fursa nzuri kwa wenye maono. Sasa bunge live kila siku...
  2. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeokota kifaa lakini nimeshindwa kukitambua

    Hilo Bomu mkuu,uko mkoa gani maana Kagera na Kigoma unaweza ukaokota chuma kumbe ni bomu
  3. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Range Rover amchokoza BMW X4!

    Yap na debate kubwa ni whether warudie engine za zamani au wa stick na hii ya puma ambayo ni too sofisticated
  4. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uume wangu umesimama hautaki kurudi katika hali ya kawaida

    Mke wa mtu sumu,huyo dada wa kazi huko alikotoka ameaga kwa mumewe kuwa anakuja kazini.sasa weww unajifanya kidume kumdandia kisa eti ni sasa wa kazi.next time utakojoa dagaaa.
  5. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu nimemzimikia

    Ushauri ni u m pm myajenge kuliko kuusemea moyo wako na kuishia kusoma post zake.atachukuliwa na warembo wenzio halafu ubakie kununa,sema naye usione soo.
  6. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Raia wa Uganda abadili jina lake na kujiita JULIUS NYERERE

    Nyeti vyake vya kitaaluma pia vitabadilika jina pia?
  7. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Rusumo: Kijana mbadilisha fedha auawa na majambazi karibu na alipokuwa IGP

    Mkuu panga halitoi mlio.hata Marekani kosa la kukutwa na panga ni kubwa kuliko kosa la bunduki.kumbuka panga halisikiki hatua mia hasa kama aliyevamiwa hakuweza kutoa sauti kuomba msaada.ila ingekuwa ni bunduki mlio ungesikika na watu wangesogea kujua kulikoni.
  8. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Range Rover amchokoza BMW X4!

    Clement ukweli ndio huo Tata hajanunua au kuoewa haki 100%.Kapewa brand moja tu ambayo ni Land Rover bro,Range Rover imebakia ibatengenezwa na Land Rover(kiwanda mama UK)
  9. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Range Rover amchokoza BMW X4!

    Land Rover is One of several manufatures owned by Tata.so The rest of the brands are still under Land Rover England.
  10. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Range Rover amchokoza BMW X4!

    Range Rover ni moja ya product inayotengenezwa na Land Rover.mfano mwepesi bwana Clement ni kama kampuni ya Soda za Coca Cola.Coca Cola wana product nyingi,coca yenyewe,fanta za flavour mbalimbali,sprite,bitter lemon,ginger ale na nyingine ongezea mwenyewe.Sasa hawa Coca tuseme waamue kumuuzia...
  11. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Range Rover amchokoza BMW X4!

    Wakuu kwema,Nimefurahi kuona new model ya Ranger Rover. Pili baada ya crisis ya muda mrefu Land Rover ambaye alikuwa anatengeneza Land Rovers na Range Rovers aliamua kuuza trade mark ya Land Rover(sio Range Rover) kwa Ford.Ford wakaiuza kwa Tata.na kwa mujibu wa deni lilivyokuwa kubwa Land...
  12. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soko la magamba ya konokono

    Fablo sio masihara,haya mwambie wewe masoko yalipo apeleke mzigo.ili tumsaidie
  13. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soko la magamba ya konokono

    Ndio kaka hii ndio deal ktk kipindi hiki kigumu,watu wote wamehamia ktk ufugaji wa wanyama hasa kuku.we andaa mzigo mkubwa
  14. Sosinsa Unswe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soko la magamba ya konokono

    Changanya na dagaa wa mwanza hapo.then ingia google utakuta wafugaji wa kitz chagua mawasiliano ya wachache kisha fanya nao biashara
Back
Top Bottom