Dar sehemu gani mkuu na je una idea kuhusu bei kwa kg ?Lete kaskazini na Dar uuze
Asante kwa maelezo yako ,nimepata pa kuanzia.Changanya na dagaa wa mwanza hapo.then ingia google utakuta wafugaji wa kitz chagua mawasiliano ya wachache kisha fanya nao biashara
Aiseeeee. Kweli hii ni jf kila kitu ni masiara hata kama jamaa yupo serious.Changanya na dagaa wa mwanza hapo.then ingia google utakuta wafugaji wa kitz chagua mawasiliano ya wachache kisha fanya nao biashara
Ndebile asante kwa ushauri wako.Watu wa Mali Asili wanakunyemelea, tafuta vibari kabla hujaanza uvunaji na usafirshaji wa hayo makonokono (shells) mkuu vinginevyo kamtaji kako katapigwa kama mwewe na kifaranga!