Msaada: Nimeokota kifaa lakini nimeshindwa kukitambua

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,237
3,855
Jamani habarini hapa jf,

Kuna kitu ambacho nimekiokota sjawi kukiona machoni mwangu,

Hiyo hapo picha nisaidie
Nikifaa cha nini hicho maana baada ya kuokota nimejalibu kuulizia kila mtu hakijui.

d257e3d6bb3b2d5973282a65f2e0f7f7.jpg

0ca741fba290d87701b3cbf4e581fa10.jpg
 
Hiyo ni Black Box ya Ndege
 
Hakina maandishi ambayo yanaweza kukupa dondoo? Labda cha hayo ma-rockets wanayorusha wenzetu wa nchi zilizoendelea kila kukicha.
 
Back
Top Bottom