Hata hivyo nilisaidia, yeye alileta issue hii kwa mabest baada ya kuona market ya GARI lake itachukua muda, akaomba nimtafutie Mteja nilivyona inakua ngumu kupata Mteja wa haraka Nae anashida nikaamua ninunue Mimi ingawa Sikua na mpango huo, baada ya wiki moja ndo akaibuka na swala hili. Hata...