Recent content by Sopa de pollo

  1. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Chadema yamsimamisha kazi Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro

    Huyo sio mchaga ndo maana,
  2. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Siku dikteta wa Romania alivyoshindwa kuyaamini macho yake

    Tuondoleeni upuuzi wenu nyie vipi? Na wengi wenu kwanza sio watanzania mnavyoonekana, nchi inakwenda vizuri kabisa ninyi mnaleta kidomo domo
  3. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Sakata la ukosefu wa ajira nchini: Muhitimu wa Ualimu wa sekondari aamua kuuza baa(barmaid)

    Watu tunalinda na maisha yanasonga, no sweat.
  4. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Kesho naenda Ikulu naisubiri kwa hamu

    Hongera sana mkuu
  5. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Je, una kipara, uwalaza, unataka nywele ndefu

    Bei gani?
  6. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna game zinapigwa saa tano Hivi asubuhi wakuu nadhani ni Thailand na Korea kaskazin na Iraq na Malaysia under 23, mumevionaa?
  7. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu we noma, tips za jana ni mmoja tu ndio aliharibu shughuli Lyon
  8. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania MZIMU WA KINYAMKELA

    Pole sana, vipi lakini ungependa kikukute kilichomkuta baba yako mtani?
  9. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Mi kilichonishangaza eti unatibu hadi magonjwa ya zinaa, sasa gonjwa kama gono mlonge ukatibu kweli? Wakati kuna vidonge cjui vinaitwaje
  10. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa Kutengeneza Timu ya Film Firm

    Mbez kubwa mkuu, upande gani na anapatikana vip? Ningependa kuonana nae Pengine nitajifunza
  11. Sopa de pollo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni bora wangekuua kuliko mateso wanayompa huyu mwanamke

    Hakika dunia sio mbaya, walimwengu ndio wabaya! Mkuu, zingatia sana self defense kabla hujajitosa kwenye Vita ya giza
  12. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge ahoji haki za matibabu ya Lissu

    Tatizo baadhi ya watu hawana utu, wao hujitazama wao tuu na kuwatumia wengine kama ngazi kufika wanapotaka. Ubaya ni kwamba, wanasahau kuwa wao ni kuni ya akiba, walimtumia Mgonjwa Lissu kama mtaji wa kisiasa kujipatia umaarufu, kutoa matamko yasiyo na msaada kwa afya ya mgonjwa, wengine...
  13. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Kutapambazuka!

    Nchi inasonga kwenye mstari mzuri tu mbona mleta thread! Hicho ulichoandika ni kizuri ila kwa upande wa kushauri na sio kutuaminisha kuwa nchi inaenda siko.
  14. Sopa de pollo

    JamiiForums Tanzania Nape Umeonyesha Upendo Mkubwa leo

    Hiyo ndio CCM mkuu, hatuna ubaguzi! Watu wote kwetu ni sawa bila kujali rangi, itikadi, au mahali anapotoka. CCM oyeeeeeeeee
Back
Top Bottom