Recent content by Sonkuno

  1. Sonkuno

    Jacob Zuma aomba hukumu yake kubatilishwa. Asema afya yake si nzuri na kwenda jela kunaweza kumuua

    Huyu mshikaji Zuma mwizi au anaonewa? Ila alijisahau sana kutumia pesa za uma kujenga kasili la nguvu chini ya aridhi
  2. Sonkuno

    Kwenu Chama cha Walimu Tanzania; mtamwambia nini Rais Samia Suluhu?

    Mega mind Nyerere bwana, haya upo mkoa gn broo
  3. Sonkuno

    Kwenu Chama cha Walimu Tanzania; mtamwambia nini Rais Samia Suluhu?

    Aisee unanikosea hiyo itakuwa na rangi gn?
  4. Sonkuno

    Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

    Yaani iko hiv ukitaka kupata sherehe kwa kutumia pesa yako fanya mapenzi na malaya. Malaya Wana starehesha hatari maana amekutana na mitambo aina nyingi
  5. Sonkuno

    CCM imwite na imuonye Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe

    Ebwanae!! Yaani nilicho gundua wabunge wanataka pesa zote ziwe zao. Yaani ni unyama ulio pitiliza. Kuna watumishi huu mwaka wa sita patupu harafu mbunge anasema million 12 kwa majibu wa Heche ni ndogo. Aiseeee! Hatari sana mbunge wa Jimbo gani huyo? Au sio mtanzania.
  6. Sonkuno

    Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

    No ya huyo nitupie
  7. Sonkuno

    Nipo kinyume na kwenda kasi kwenye kurudisha mahusiano na Kenya

    Dunia ni watu inatakiwa utafute watu ili ujifunze ya watu ili ufanikiwe vile vile maendeleo huletwa na watu.. Sio kujifungia ndani eti upate maendeleo hakuna Dunia ya hivyo
  8. Sonkuno

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hutoki kiumbe pale
  9. Sonkuno

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Chama langu hilo pamoja sana
  10. Sonkuno

    Kwenu Chama cha Walimu Tanzania; mtamwambia nini Rais Samia Suluhu?

    Yaani hawa CWT mnakera sana hela yangu mnakata miaka 19 harafu mna ninaninyima tshirt aiseeee sio sawa
  11. Sonkuno

    Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

    Wapigane vita ya kiuchimi kama ya China
  12. Sonkuno

    Mbunge Musukuma asitake Kuhalalisha kuwa wenye Elimu ndogo wapendelewe, wasikilizwe sana na waonewe mno huruma na Watu kwa gharama ya kuwananga wasomi

    Mimi ninachoamini mtu aliyesoma anajua vitu vingi vingi sana ambavyo hao wakina msukuma hawajui degree ni Elimu kubwa sana. Sijui wabunge wasomi Wanamuogopa kumjibu ndio maana anavimba kichwa na kuwa nanga, hakusoma tu akubali au arudi shule umri na umbo vinamruhusu.
  13. Sonkuno

    Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Aiseeee!!! Vimbaubau ni shida jaribu tungi one day mkuu usikie habari yake
Back
Top Bottom