Recent content by sonjames

 1. sonjames

  Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

  Watu wanasahau kuwa sisi sote ni marehemu watarajiwa, unafanya like kama huvi? Mungu iponye Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
 2. sonjames

  Wapinzani kuweni macho na kauli ya leo ya Rais

  Binafsi simuamini Lowasa, nasema kweli lowasa simuamini ndani ya chadema, hata Sumaye pia simuamini, hivi kwa akili ya kawaida kabisa wale wafia chama watoke tu kirahisi ccm??? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. sonjames

  Chama cha Mapinduzi (CCM) Kimetoa tamko na kulaani Jaribio lililoshindwa la kumuua Mheshimiwa Tundu Lissu

  Duh, kumbe ni mission ya siku nyingi e Sent using Jamii Forums mobile app
 4. sonjames

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ni mmoja wa madaktari wanaomfanyia upasuaji Tundu Lissu

  Huu nauita upumbavu, tena upumbavuuuuuuu, nna hasira hakyamungu, ni aibuuuuu, mtu tangu juzi anaongea, na akataja na namba za gari zilizokuwa zinamgmfuatilia, Leo mnajifanya kushtuka!!!! Kweli mnajifanya kushtuka, huu sio ujinga? Bongolanda tunaelekea wapi lkn? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. sonjames

  Ukomando uliotukuka

  Duh, Mara paaaa! Sent using Jamii Forums mobile app
 6. sonjames

  Lunch time.....!!!!

  Imetulia Sent using Jamii Forums mobile app
 7. sonjames

  Naitaka TCRA kumchukulia hatua za kinidhamu Sasha Kassim kwa kupost picha za utupu mtandaoni

  Usiongee kabla hujafanya utafiti, anazo account zaidi ya Tatu fb, na kazi yake ni kuuza mkoba wa kubebea marungu Sent using Jamii Forums mobile app
 8. sonjames

  Ukiona tu mpenzi,mke,mume ,demu wako anakusaliti mara kwa mara ujue humfikishi

  Usaliti ni hulka ya mtu, ni asili ambayo kamwe mtu kuiacha ni kujikana mwenyewe, wapo wengine hata umkojoze Mara kumi kwa tendo bado tu atachepuka maana ni asili yake, ni tabia yake. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. sonjames

  Yusuf Manji apoteza sifa ya kuwa Diwani wa Mbagala Kuu kwa kushindwa kuhudhuria vikao

  Yupo kwenye Mapito, ni wakati wake wa kujitafakari na kutengeneza na Mungu wake, na hakika ataamka tena, tumeagizwa kuombeana na si kuhukumu so atengeneze tu. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. sonjames

  Swali la Mama Salima Bungeni: Lini serikali itapiga marufuku uingizwaji wa headphone?

  Yethuuuuu, ni kweli kauliza swali hilo? Hapana bhana mi thiamini, kama ni kweli basi atakuwa alipitiwa tu jamani. Hahahaa Sent using Jamii Forums mobile app
 11. sonjames

  Naitaka TCRA kumchukulia hatua za kinidhamu Sasha Kassim kwa kupost picha za utupu mtandaoni

  Duh, duh, nimezitazama nimeishia kuliamsha DUUUUUDE! Sent using Jamii Forums mobile app
 12. sonjames

  Geto!

  Hahahaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
 13. sonjames

  Ushauri wangu kwa Raisi Uhuru Kenya, Do The Unthinkable, Now!

  Inavyoonekana ni KUWA hata familia yako haipo imara kwa sababu yako Sent using Jamii Forums mobile app
 14. sonjames

  Mchanganyiko wa vyakula vinavyoweza kutengeneza sumu

  Hahahahahahaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
 15. sonjames

  Hawa Samaki wa bwawa la Nyumba ya Mungu ni zaidi ya pweza...

  Hshahaaaaa, pweza, kweli vijana Wa daresalamu ni janga Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom