donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,132
Haah karibu chiefSawa Bwana Misosi
Sent from my iDevice using Tapatalk
Asante aseeh
mkuu mbona povu la boom tenaHatupo Facebook au Instagram..... Ujinga wako peleka kwa watoto wenzako......unamaana gani ....kufanya hivyo....tukujue kwamba Leo umekulann....ucha kuwa mtumwa wa akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni nyama gani mbona nyekundu sana
Hii ya jana kaka...ila mshkaji anajipunja sana hiyo plate kwa ujazo huo tumbo nitalisikia jeupe nikinyanyuka kwenye kiti.Mkuu sa nne Lunch.?
Daah hata mm sitosheki hapoHii ya jana kaka...ila mshkaji anajipunja sana hiyo plate kwa ujazo huo tumbo nitalisikia jeupe nikinyanyuka kwenye kiti.
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Povu.Hatupo Facebook au Instagram..... Ujinga wako peleka kwa watoto wenzako......unamaana gani ....kufanya hivyo....tukujue kwamba Leo umekulann....ucha kuwa mtumwa wa akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ni kula au kuramba? maana hapo vijiko vitatu hata chakula hakijafika kwenye mfuko wake kisha isha kusahani.
"read meat" ni nyama ya aina gani