Recent content by Sonara7

  1. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Hivi ni hapa Dar tu ndio jua linapiga kiasi hiki au ni Tanzania nzima?

    Jua lina waka aisee
  2. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu

    Naomba ufafanuzi mkuu,ni kwanini walimu hawajielewi au ni kivipi hawajielewi?
  3. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu

    Nakubaliana na ww 🤝
  4. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu

    Kwakweli hua inasikitisha sana na ndo maana mara unasikia kipindi cha mitihani ya kitaifa kuna walimu wanakamatwa wanaonyesha majibu wanafunzi,hii ni kutokana na kukubali kupewa fedha kidogo ili wavujishe mtihani,kwa kada ya walimu kwakweli hua inasikitisha sana.
  5. Sonara7

    JamiiForums Tanzania SIMBA leo anashinda

    Nakubaliana na wewe
  6. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Kama marekani ni nchi ya kishetani ina maana wanaoenda huko nao wana kaushetani au ?
  7. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

    Jamaa amemkazia kwelikweli mkewe
  8. Sonara7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 39 sina mke wala mtoto. Je, hii ni kawaida?

    Oa Oa ubongo uchangamke vizuri
  9. Sonara7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani wanaongoza kutangaza madhaifu ya wenzao?

    W Wengi wanao tangaziana madhaifu yao niwale ambao hawapendani au tena wamegombana
  10. Sonara7

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Kwenye mechi ya Ihefu vs Simba Marefa watayafanya makosa ya kiubinadamu na kupelekea Simba kupata pointi tatu muhimu

    Yanga alikufa moja pale kwenye ule uwanja nadhani labda hakukuwa na makosa ya kibinadamu kwa marefa.
  11. Sonara7

    JamiiForums Tanzania DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Hali ya maisha asaivi inalingana kila sehemu ila dar watu ndo wengi sana
  12. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Notification (Binti ukikosa akili kitakachoumia ni sehemu za siri)

    Duh zitaumizwa na nini?
  13. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Hili la bwana mdogo (mwanafunzi) kujisomea kwenye taa za barabarani limekaa kisiasa kabisa

    Sijajua kwa hili limekaaje kutokana na hyo t shirt ya Tanzania,ila swala lakujisomea kwenye baraza za majirani ambazo zinataa hilo swala lipo na hata barabarani.
  14. Sonara7

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu. Naona familia yangu inaenda kuaibika, nahitaji msaada

    Hali zetu zipo hivyo ndugu yangu ila kikubwa nikukaza tu na haupaswi kukata tamaa.
Back
Top Bottom