Recent content by sonaderm

  1. sonaderm

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kwa sasa tuna ombwe la kiuongozi..Itatuchukua muda sana kurudi kwenye mstari!Mambo ambayo naona tunahitaji kwa sasa ni maamuzi magumu na uharaka wa kutoa hayo maamuzi!Kasi ya mafisadi kurudi imekua juu mno ukiacha wahalifu na vibaraka wa mabeberu au wanaharati hewa. Vitu kwa sasa vinaenda...
  2. sonaderm

    Ethiopia kuondoa ombaomba na makahaba mitaani

    Maria anajua habari hizi za shemeji zake??
  3. sonaderm

    Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Kama una mambo ya hovyo lazima utadukuliwa hata tutumie mtandao gani!Sihami Voda ng'o...
  4. sonaderm

    Hatimaye kampuni ya Bombardier yafilisika rasmi, sijui spea tutapata wapi?!

    Hata Nokia iliuzwa kwa Microsoft..lakini simu ya Nokia kitochi zipo na maisha yanaendelea kama kawaida..Usipotoshe mkuu,kubadili umiliki wa biashara haimaanishi wakati wote kubadili bidhaa na accessory zake..
  5. sonaderm

    Kwanini Mbwa hubweka sana usiku ( saa 5:30am - 4:40 am)

    Ndio muda nyege zinakuwa juu..kwa hiyo wanatafutana!Ni kama wanaume wa dar mvua ikinyesha wanaanza kuhaha kwenye simu kutafuta mademu.
  6. sonaderm

    Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

    Lisu ana maneno zaidi ya kasuku au kameza jenereta mbele ya mabeberu ila jimboni kwake watu wanateseka..wampige chini Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sonaderm

    Wanaotamani Kiongozi "perfect", wasubiri tuende mbinguni

    Kweli kabisa..Wasubiri tuende mbinguni au waende ulaya[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sonaderm

    Mahojiano kati ya Sackur wa BBC HARDtalk na Tundu Lissu kwa Kiswahili

    Mijitu ya upinzani hasa iliyopo mitandaoni inakera..Hayana hoja za msingi zaidi ya ku bully watu! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sonaderm

    Tanzania nchi inayongoza kwa wanawake kulia njaa

    Na ndio maana wakija getto wanashikishwa adabu mpaka iwake moto[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. sonaderm

    Picha: Inayat Kassam shujaa wa uokoaji shambulizi la Kenya amwagiwa sifa

    Mbona machale kama yananicheza[emoji23][emoji23][emoji23] Mabeberu sio watu wazuri.. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. sonaderm

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

    Ashakumu si matusi..kimtazamo huyu dada na sugu hawaendani!Kuna uwezekano sugu kachungulia fursa..Mtazamo tu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. sonaderm

    Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

    Muda ukifika au mahitaji yakipngezeka tutajenga au kuvipanua mbele ya safari..Kwa sasa treni na reli ndio kipaumbele
  13. sonaderm

    Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

    Wasafiri hawataki mbwembwe..Cha msingi huduma ya SGR yenyewe ndio iwe bora. Mambo majengo sijui yawe vile sijui hivi,kwani tunalala hapo?
  14. sonaderm

    Muonekano wa standard gauge kutoka Dar mpaka Morogoro

    Huyu Rais ni zawadi kwa waTZ...Sema nini, nabii hakubaliki kwao!
Back
Top Bottom