Recent content by son of king john2

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Magufuli, fukuza mabalozi wote wa nchi za Ulaya na Marekani

    Inawezekana ndugu zako kibao wanaishi kwa ARV's alafu nawe unajifanya eti fukuza mabalozi wa Ulaya na America. We kweli kinembe
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nape: Kuzuia mikutano ya kisiasa siyo kuminya demokrasia na siyo udikteta

    Haya ya kwamba siasa zinaishia uchaguzi yamekuja kutokea wapi?? Kwa hiyo walioandika katiba walisahau kuwa kuna shughuli za maendeleo baada ya uchaguzi??
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa movie: Nukuu za Movie zilizowahi nifurahisha

    "had you ever tried to kill a man who is trying to kill you"??? game of thrones
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Kaptula la Marx: Tanzania tuitakayo

    KAPTULA LA MARX Hiki ni moja ya vitabu vilivyowahi kuandikwa kwa ustadi mkubwa na Prf. E kezilahabi juu ya mfumo wa uendeshaji maisha katika taifa hili ambalo pamoja na mifumo yake mingi limekuwa likijinasibu kuwa ni la kijamaa kujitegemea ingawa ujamaa huu unaonekana kama "kaptula kubwa la...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri Mkuu awamu ya tano (Wasifu wake)

    Heheheheh......inamana huyu anamzidi hata lissu....just one of exmple
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    kwangu naona is better uende.....huna ulichotufanyia zaid ya marktime....pumzika mzee nchi itakukumbuka kwa kushusha thamn ya shiling,kupandisha bidhaa,kufuta uchaguzi bila kufata sheria,kweli TANZANIA itakukumbuka jk kwa kuifanya familiya yako iwe tajr ndani ya miaka 10.....ansante sana baba
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wapangaji wa majina ya wapiga kura mmenifurahisha sana

    daaaaaaaaaah inawezekana ukafanya niwe na siku ya furaha wacha niobne kama kuna atakayekupku
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    ni ishara nzuri kwa uchaguzi huu kwa kuwa vuijana ndiyo watamua hatima ya taifa lao ,ni wao wenye mda mrefu wa kufaidika au kuumia na mfumo wa kiutawala utakaoundwa na serikali inayopuigiwa kura leo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    pole mkuu....BWANA ALITOA,BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tuondoe ubishi juu ya wanawake wenye uke mrefu na mfupi

    hehee naona unamufukuza chizi kisa kachukua nguo zako ukiwa mtoni unaoga:shock:
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri ya kiingereza la neno: Hapa Kazi Tu!

    works only here
  12. S

    JamiiForums Tanzania Monduli Vs Chato kimaendeleo kwa ujumla wake!

    wap magufuli amesema atashugulikia ajira kwa vijana na ametumia mission gani kufikia hiyo vision?au ni maandishi kama ya jk
  13. S

    JamiiForums Tanzania Eti ccm mbele kwa mbele!!!

    nawahurumia wanaoshangilia ccm wakat hawajajiandaa kulalamika
  14. S

    JamiiForums Tanzania Eti ccm mbele kwa mbele!!!

    kuipigia kelele ccm kuendelea kuwa madarakani mika mitano ni kujiandaa kulalamika malalamishi ya aina moja kwa miaka mingne mitano yaani maji hamna..... umeme hamna mishahara haipandi huduma za afya mbovu shule hazina madawati wasanii hatuna hati miliki migomo ya wanavyuo.... kina...
  15. S

    JamiiForums Tanzania 10 African countries with most beautiful women

    rwanda is next level....kenya hata 30 bora hawastail
Back
Top Bottom