Kuwepo kwa elimu ya kidato cha sita katika mfumo wa elimu ya Tanzania ni kupoteza muda hakuna ujuzi wowote anopata mtu wa kumtofautisha na kidato cha nne. Hivyo mtu kutokupita direct kidato cha tano na sita siyo ishu.
Wabongo mnaamini kweli katika CV, ndo maana watu wana fake sana vyeti.
baada ya kumaliza secondari kigosera alijiunga na chuo cha ualimu nadhani katika level ya cheti
inaonekana mh hakusoma form six , hilo siyo mhimu sana lakini ilikuwaje akatoka chet akajiunga na UD bila kusoma dip au form six? hakuna sehemu inayoonyesha hizo hatua za six au dip.
angalia anasema -1999-1999 amefanya pgdp , kuna utata hapo japo pgdp ni mwaka mmoja, utata upo kwenye mwaka ..ina maana alianza kusoma jan akamaliza kati ya sept - dec. au ilikuwaje... angesema may be 1999 to 2000.
tunaomba majibu.. utata wa elimu ya waziri mkuu.
Wabongo mnaamini kweli katika CV, ndo maana watu wana fake sana vyeti.
Baada ya kumaliza secondari kigosera alijiunga na chuo cha ualimu nadhani katika level ya cheti.
Inaonekana mh hakusoma form six , hilo siyo mhimu sana lakini ilikuwaje akatoka chet akajiunga na UD bila kusoma dip au form six? Hakuna sehemu inayoonyesha hizo hatua za six au diploma.
Angalia anasema -1999-1999 amefanya pgdp , kuna utata hapo japo pgdp ni mwaka mmoja, utata upo kwenye mwaka ina maana alianza kusoma Jan akamaliza kati ya Sept - Dec. au ilikuwaje... angesema may be 1999 to 2000.
Tunaomba majibu utata wa elimu ya waziri mkuu.
ni kweli but katika mfumo ipo hakuna cha kukwepa
Kuwepo kwa elimu ya kidato cha sita katika mfumo wa elimu ya Tanzania ni kupoteza muda hakuna ujuzi wowote anopata mtu wa kumtofautisha na kidato cha nne. Hivyo mtu kutokupita direct kidato cha tano na sita siyo ishu.
Baada ya kumaliza secondari kigosera alijiunga na chuo cha ualimu nadhani katika level ya cheti.
Inaonekana mh hakusoma form six , hilo siyo mhimu sana lakini ilikuwaje akatoka chet akajiunga na UD bila kusoma dip au form six? Hakuna sehemu inayoonyesha hizo hatua za six au diploma.
Angalia anasema -1999-1999 amefanya pgdp , kuna utata hapo japo pgdp ni mwaka mmoja, utata upo kwenye mwaka ina maana alianza kusoma Jan akamaliza kati ya Sept - Dec. au ilikuwaje... angesema may be 1999 to 2000.
Tunaomba majibu utata wa elimu ya waziri mkuu.
Ni mbunge gani wa upinzani anamzidi elimu?
Lema,Mbowe,msigwa,Sugu au Joseph Haule?.Puuiuuuuuummmmmbaaaaaa.....fuuuu
Kabla hajapendekezwa Mh. Rais alijiridhisha na CV yake so umechelewa, it wont change anything!!!
Acha ujinga,Tangu nchi ipate uhuru kusini hapajatoa waziri mkuu,huoni ni jambo jema we unaleta majungu yako hapa.
Angalia kwanza amesoma nchi gani kumbuka Pgdp na Masters ulaya ni miezi 9 tu hayo miaka 2 yapo Tanzania tu na baadhi ya nchi za Africa

nakuabariana na wew mzee! utata wangu alianza lini? umeunderline nikajua umesoma na kuelewa vyema kumbe ni umeharibu wino wako tu