Mimi binafsi nipo hapo PENZI LA UIGIZJI, penzi hili ni tamu sana na halina usumbufu kwangu, mnakutana hasubui, jioni kimeeleweka, asubuhi yake mbio kutafuta maisha huku mawazo yakiwa kwenye kazi badala ya kumuwaza mwanamke, penzi hili halina stress, na unapokuwa stress free anaweza kuyafanya...