Njemba!

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
[h=6]Mama kapanda daladala na mwanae wa miaka miwili pembeni kakaa na njemba moja
Mama:nyonya basi mwanangu
Mtoto:anatingisha mabega kumaanisha hataki
Mama:Au nimpe anko
Mtoto:analia sitaki anadaka nyonyo anaendelea
punde si punde akaacha tena kunyonya
Mama:ntampa anko kama hautaki
Mama:nimpe
Njemba:ahaaaa mama kuwa na msimamo basi nshapitiliza vituo vitatu kama unanipa nipe au kama vipi nishuke kituo kinachofuata
Mama:haaah anko uko serious..????

[/h]
 
ha ha ha haaaa!! Nimeipenda hii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom