Nasikia siku za mwisho wadau tutajielekeza kwa maulana ili kujitakasa madhambi yetu ready kuingia peponi,,,, leo hii naona madhambi yanazidi kuwatafuna wana ccm na taratiiibu wote watabamia CDM kujitakasa na kuomba msamaha kwa wananchi!
Mi simo ila........pongezi kwa Nyarandu.
Hivi kwani Zitto ni mpinzani?
Anaonesha cheche ili arudishe imani kwa watzania.
Na huyo Jerry anaetoa ubuyu kwa msaada wa data toka Lumumba, nahisi katumwa maana nae ukimuuliza undani wake atakimbia! Ifike pindi ukweli uchukue nafasi yake, na wale wanaoweka wazi ukweli huo wasiandamwe!
Kwa...
Mfumo wa uendeshwaji wa serikali si wa wazi, anko alikataa mfumo wa uendeshwaji wa serikali wazi, kwa maana hiyo watzania tutakuwa tukipewa taarifa
Na hii ipokee kama taarifa
Mara paaah! Game linaanza," Michango ya wahanga wa tetemeko la ardhi Kagera inatumiwa kwa shughuli za serikali, hapo ndipo nliona hata kijiko kinaweza kusonga ugali
Hakika kama watu wa Lumumba mko namna hii, mimi nitaenda Zimbabwe soon!
Mbona wakati wa Jk hamkuwa na akili butu kama hiyo?
Au anko kawaweka ndani ya chupa hata kazi yenu halali mmesahau, au nyie ni wageni ktk tasnia ile!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.