Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ziarani nchini Canada kwa shughuli za kikazi

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameondoka leo Jumatatu, Oktoba 16, 2017 kuelekea nchini Canada kwa shughuli za kikazi.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu, imesema akiwa Canada, Majaliwa anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali za kipaumbele.

Canada ni miongoni mwa nchi zenye ushirikiano wa muda mrefu na Tanzania kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Chanzo: Mwananchi
 
upload_2017-10-16_19-18-29.jpeg


Kila la kheli PM
 
Back
Top Bottom