nimeyachunguza matokeo ya shule ya majengo secondary yenye usajili namba S485 kuanzia mwaka 2003-2009 sijaliaona jina la godlisten malisa au ulifukuzwa shule kabla ya pepa?
kwann usikubali kwa moyo mweupe kuwa ile divishen four yakule minaki n ya kwako?
wenzio mchana wamekutetea wamesema...

kwenye iyo article anasema amesoma majengo secondary n kama ndivyo ina maana kutakuwa na kina godlisten malisa watatu
aliesoma jk nyerere secondary
aliesoma minaki secondary
aliesoma majengo secondary
sasa ukienda kwenye records za majengo secondary jina la godlisten malisa halionekan jina la...
hii ni ngumu kumeza UPAWA hapa hawawezi kupagusa ni pamoto kwa kuongezea hivi huo mfumo ni kiumbe kilicho hai ama hakina uhai na kama kina uhai je kina masikio? kina macho? kinanusa?
kama si kiumbe hai icho kiumbe mfumo kimetengenezwa kwa materials zip? udongo? mbao? chuma? au vito?
hivi kuna madiwani wa jimbo lingine waliohama au wanaotarajia kuhama zaidi ya wale 18 wa monduli????
hahahahahahahahahahaaa kingunge hajahama na hana mpango wa kuhama then mnaita mpasuko ndani ya ccm kajipangeni upya kama mlitegemea ccm kupasuka ili mfaidike basi mmefanikiwa kupata kata kumi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.