utamponza mwajiri wakoPovu la nini?, unaongea kama mke wa Ayubu
CUF inamtaka, na wako tayari kumpokea... soma Nipashe la Leo...!!! hapo na uhakika, Cdm Wako willing pia...
UKAWA itakuwa motooo, motooo... nafikiri wana finalise the biggest deal kuwahi tokea ktk siasa za Tanzania..na watashida kwa kishindo, juzi nilivyomuona Lema pale Monduli, nilijua tu kuna deal kubwa sana la Muungano na Lowassa linakuja...
Ile kauli ya Lema, kuwa wananchi wamwambia Lowassa ajiunge na Chadema, na Mungu ndie amepanga hivyo, ni kauli nzito sana...
Sasa Cuf ndio wamekuja na Kauli ya kumtaka tena leo... yaanii, ni shidaaa
Kwani Lowasa kaiba nini ambacho kikwete na wengine hawajaiba?
Mkuu nasubiri kwa hamu Lowassa aanze kusema ya kusema. Kitu ambacho watu wengi hatujui ni kwanini walishindwa kumuondoa kwa kile walichodai ni fisadi. Kwenye kuongea jina lake la ufisadi halikuwa issue hata kidogo, issue ili kuwa kukigawa chama na kuonesha kulta mgawanyiko ndani ya baadhi ya idara nyeti za serikali.
Sasa tusubiri aanze kampeni zake, nadhani akitaja undani wa Richmond watu watabaki midomo wazi wengine heunda hata watazimia.
By the way, why is Richmond more ufisadi that Escorw, EPA, Radar etc?? Mbona tunasikia wengine wanaendelea kugombea huku wakiwa wamevuna mapesa ya ufisadi?