Mwenyekiti wa CCM Arusha unasubiri nini?

Mwenyekiti wa CCM Arusha unasubiri nini?

watanzania ni wanafiki sana mbona auhulizi Pasco anasubiri nini na co wenzake wa radio ya mawimbi walijinasibu wapo upande wa mzee EL ... mzee akichukua maamuzi magumu utaona mikia yake inavyounga msururu..... wakati mwingine akili za watanzania nizakipekee

Nimependa hapo tu, Yaani wa Tanzania sijui akili zetu zikoje
 
hivi kuna madiwani wa jimbo lingine waliohama au wanaotarajia kuhama zaidi ya wale 18 wa monduli????
hahahahahahahahahahaaa kingunge hajahama na hana mpango wa kuhama then mnaita mpasuko ndani ya ccm kajipangeni upya kama mlitegemea ccm kupasuka ili mfaidike basi mmefanikiwa kupata kata kumi na nane na jimbo moja tu,hakuna madiwani wengine tena watakaohamia kwenye saccos yenu ya kikabila
 
Ni aibu kubwa kwann nilikuwa teamLowasa!!
Siasa za ukanda hazina maana kabisa!!
Nyie huko Arusha jiungeni tu CDM tuone hiyo ikulu mnayotaka kwenda ni ipi?
Wamasai, wameru, na waarusha imekula kwenu!
Hata woote mkamua kuwa CDM ndio kwanza mnaibomoa CDM kuonekana ni ya huko huko kaskazini!
Shame on you all!!
 
Hao waliohama ni waliokuwa na matarajio ya vyeo kutoka kwa ENL Sasa ni jazba.unaota njonzi umepata Milioni unaamka huna mia ni shidaaaaa
 
Direction is more important than speed. We are so busy looking at our speedometers that we forget the milestone.

TAARTIIIBU ILA KWA UHAKIKA!

Makada hakuna anayeshawishi watu kwenda CDM ni hasira tu na watu ni kama wanalipa kisasi. Makada waacheni wanaotaka kuwa ccm au UKAWA, 4U si chama lakin kina wanachama wa vyama mbalimbali. Mjue pia tunatofautiana kwa maauzi na uwezo wa kutulia kabla ya kufanya jambo. Kuna watuni first oriented kila jambo anataka awe wa kwanza tena wamuone. Ni njema kwake huyo lakini wapo ambao hupiga hesabu saa na kupima upepo ndo waamue, hao pia msiwaone wanachelewa. Kuna wanaoamua lakini kusema wanachelea, hao nao tunso. Nawaomba watu wangu itikaditunazo toka awali lakini mwelekeo wetu hadi sasa ni PUSH EDO INTO MAGOGONI kama anasimama lazima wawepo wa kumsukuma. Hakuna aliyemchafua EDO kama CCM lakini mbona bado yumo humo? Msimamo wa SLAA kwa EDO ulikuwa wa kisiasa na si wa dhati, SLAA hakuwa na kosa siasa zilimtuma na CCM hawana makosa siasa zawatuma, sisi tutende kwa dhati popote tulipo tuonyeshe kuwa OUR HERO IS THE NATIONAL HERO watatujua tu with time watatukubali. You are born a Tanzanian before you are a partisan somewhere do Tanzanian responsibilities responsibly utaona wanaulizana kwani huyu jamaa chama gani? Hapo sasa ndo utasema UKAWA AU CCM! LOVE YOU ALL MA FIGHTERS!
Keep on dreaming pal!!
 
Karibu ukawa maana mtakuwa mmesamehewa dhambi zenu zotee
Yaah..... Imenenwa katika Bible, dhambi zako japo zilikuwa nyekundu, unapotubu zinasafishwa na kuwa nyeupe kama theluji.
 
Hawa ndio waasisi wa kampeni chafu ya ukabila jijini Arusha
 
Back
Top Bottom