Recent content by Soli ya Kiatu

  1. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hivi wadau mmewahi kuwaona wanawake wanasoma magazeti?! Mfno wanapouzia magazeti...mimi sijawahi kuona
  2. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Hii kali
  3. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Kijeshi vya Iran nchini Syria vyashambuliwa kwa Makombora ya ndege za Israel ,Askari 9 wa Iran wauwawa

    Israel n mshirika mkubwa wa marekani, hvyo vitendo ni viashiria vya kutumika kwao na marekani
  4. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Am feeling guilty, nafsi inanisuta

    Mkuu, mm naona n vyema utafakari tena na tena kisha utaona tu yupi anafaa. Maana hata km mmekaa miaka kumi, yawezekana hakufai...lkn ukakutana na mtu wa mwaka au miezi ukajikuta unaona thamani yake...hauna feelings naye lkn hebu tafakari maneno yake, mwenendo wake na mawazo yake kila unapokuwa...
  5. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisheria kwa huyu rafiki yangu

    Barua yake hiyo ni uthibitisho wa yeye kutokuwa na hatia, maana kama angekuwa na mshtakiwa asingerudishwa.
  6. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nipe nikupe, chagua kuendelea na UKUTA au ubaki na Bilicanas

    Pole sana. Hujui kama hujui unalodai kujua.
  7. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

    Pole sana.
  8. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Inasikitisha unavyojionesha namna gani hutumii hata busara katika kuchanganua vitu. Pole sana lkn ndio utazidi kuelewa taratibu sio makosa yako.
  9. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Pole sana. Tumia ubongo kufikiri na sio kuweka hisia zako. Na kingine, jitahd kufanya kazi, km huna kazi punguza muda wako kuingia mitandaoni kupost namna gani huelewi mambo na uelekeze ubongo wako katika kutumia fursa zilizo mikononi mwako na akilini mwako.
  10. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    Ungekuwa unanijua ungesema kwamba najua au sijui. Ila hongera kwa kutokujua.
  11. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    Mtu aliye timamu hutumia ubongo wake kufikiri. Nakushauri, jua kwanza kazi zao na kisha soma sana lakn ukishindwa, usijibu maana utaonekana jinsi usivyo muelewa kwenye uzi muhimu kama huu. Ni vyema kuelewa na sio kushabikia.
  12. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    Elewa kazi yao na utafahamu mengi zaidi.
  13. Soli ya Kiatu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    Tumia akili yako kufikiri binafsi. Miaka hamsini tuko palepale!? Miaka hamsini nyuma ulikuwa na uwezo hata wa kuyasema hayo maneno yako?! Be respectfut in your country, labda kama ww sio mtanzania.
Back
Top Bottom