Recent content by Sole Proprietor

  1. S

    JamiiForums Tanzania Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

    Umefikiri vizuri ndugu. Serikali ya Rwanda iliamua kuwekeza kutoka hapo ilipokuwa tena kwa jasho na dame. Je serikali ya Tanzania iliamua kuwekeza Kagera? Sana sana walipora hela za tetemeko. Halafu tofautisha nchi na Mkoa. Ningekuwa mkazi wa huko hata kukutukana ningekutukana.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

    Kama hujui maana ya harakati nyamaza. Harakati ni dhambi? Siasa ni nini na harakati ni nini? Au haujui harakati ni aina ya siasa pia? Kama hujui harakati ni siasa inayobase kwenye fact na misinamo. Mara nyingi hufikia hatua hiyo kama wanachokisema kinapuuzwa. Wewe siasa ni ipi na harakati...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Isaac Issa Mnurwa, adaiwa kukamatwa kwa kupost clip ya Rais Samia akiwa na Peter

    Umefikiri vizuri wewe? Serikali ni wafanyakazi wetu. Walituomba tuwape kazi tukawapa. Uliona wapi mfanyakazi anamfokea bosi wake? Serikali haina pesa sisi tunatoa kodi tuliyokubaliaba kupitia bunge wakafanye vitu tuliowatuma wakati wa uchaguzi na kuwalipa mshahara. Ukifikiri kwa mtazamo huo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

    Kumbuka pia mwezi ulimuwa januari
  5. S

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wana mdiscus Pep kwa muktadha wa Arteta. Yaani kichwa chako kizito mpaka huwezi kuelewa? Hapa inafanyika comparison Pep kafanya nini, kapitia wapi, kwa staili gani ya uongozi na je Arteta ataweza kukanyaga alipokanyaga rafiki yake? Soma uelewe sio usomeckujibu tu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

    Umeandika kitu ndeefu ya kutunga na uongo. Unarudia rudia sentensi kama kuku aliyekatwa kichwa na haina manufaa kwako na wanaosoma. Inakusaidia nini kuwa muongo na mzandiki? Unafurahia kubambikia watu kesi? Sio muda mrefu utawaomba watu msaada wakusaidie dhidi ya hao unaowatukuza.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa kupelekwa Bungeni na Karandinga ya Polisi, mashtaka yake kuongezeka hadi kuwa matatu

    Anaweza kuwa shujaa au asiwe shujaa. Pamoja na sababu tulizozisikia tujipe muda tupate majibu sahihi zaidi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

    Legend ndio nini? Eti legend ya jpm. Andika kwa kiswahili ueleweke hiyo lugha huijui.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

    Mfano kama nani mwingine angefaa? Nipe majina matatu tu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Toa ushahidi kama hayo unayosema ni maneno ya Mbowe?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kilio dhidi ya Spika Ndugai ni kikubwa kuliko kwa DC Sabaya. Je, siku za Ndugai nazo zinahesabika?

    Akiwatishia kuvunja bunge watafyata mkia wote. Hakuna anayetaka uchaguzi lati yao.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kilio dhidi ya Spika Ndugai ni kikubwa kuliko kwa DC Sabaya. Je, siku za Ndugai nazo zinahesabika?

    Umepata kichaka unakunyaaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona wabunge wa CCM wanamuomba Rais atunge sheria? CCM kuna maandazi zaidi ya vyama vingine. Ndio maana mwendazake akifanikiwa kuwarubuni wakahamia kwa inzi wa kijani anawapa na position hapohapo sababu sisiemu haina watu weledi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa CCM wanatetea siasa chafu za Sabaya?

    Na Arusha kuna Idd Mkuluu na Rama Mkuluu mmoja wao ameshatangulia kwa changamoto za kupumua pamoja na kampani yao. Wametumiwa sana na Gambo na CCM kuumiza watu. Kuchoma watu visu lilikuwa jambo rahisi kwao kuliko hata kumenya chungwa. CCM ilitengeneza laana ambayo tulikuwa tunakaribia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    Hebu tupe takwimu zako..!!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    Urusi wanauza gesi ulaya nzima na wanawauzia mpaka waliowazidi warusi kiuchumi ina maana waache kuwauzia halafu wakae nayo kwa faida gani.? Hayo mawazo ya kichoyo yanaonyesha tabia yako. Unakuta mtu anakataa kukodishia mwingine shamba kisha mwaka jana alivuna mazao mengi kuliko yeye na analiacha...
Back
Top Bottom