Recent content by Soldiergirl255

  1. Soldiergirl255

    Naomba kujuzwa ubora na changamoto za Gari aina ya Toyota Pixis Epoch

    Habari ndugu, Nimejaribu kupita kwenye website mbali mbali zinazouza used cars kutoka Japan nimekutana na gari aina ya Toyata Pixis Epoch na imenivutia hasa kutokana na ulaji Mdogo wa mafuta (32km/ litre) ila kwavile sina utaalamu kabisa wa magari nimeona niulize kwa anayefahamu kama hizi gari...
  2. Soldiergirl255

    Car4Sale Toyota passo inauzwa

    weka mawasiliano
  3. Soldiergirl255

    Freight Clearing and Forwarding Services

    Samahani mkuu hiyo tra calculator inakuaje? natamani kifahamu iyo formular ili niitumie kujitathmini kama nitaweza kumudu gharama za gari ninayotaka kugiza kupitia befoward. Tafadhali nisaidie
  4. Soldiergirl255

    Wanyonya damu walikuwa wanaipeleka wapi damu?

    mimi pia ilikua 2000 nikiwa darasa la kwanza sijui ni uzushi tu maana hata sikuona kitu nilivyoona watu wanakimbia nami nilikimbia
  5. Soldiergirl255

    Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Sawa ila kaka hajasema mchumba wake ametanuliwa amelalamikia mienendo mibaya ya simu na mabadiliko ya tabia.
  6. Soldiergirl255

    Nahitaji tray 200 za mayai kesho

    Habari wanajukwaa nahitaj tray 200 za mayai ya kuku wa kisasa kesho. kama unayo tafadhali ni pm tufanye biashara nimepata mteja ila stock yangu haijaweza kukidhi mahitaji yake. Nahitaj mfugaji muaminifu tusaidiane kutoa huduma hii. Natanguliza shukrani
  7. Soldiergirl255

    Kwa Mahitaji ya Nyumba za Kupanga Jijini Mbeya

    Kama utapenda kiwanja kipo itezi block jj karibu
  8. Soldiergirl255

    Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Kama ww hiyo app ikiwekwa na kwako bado utaonekana ni msafi (huna vimada) basi unaweza kumuacha kabisa na mahali achana nayo ila km naww unamsaliti na roho yako ni shahidi.. oaneni tu. siwez kujua malengo yenu.... inaweza kuwa mmepanga kuacha vimada mara baada ya kuvaa pete. wanaume wengi...
  9. Soldiergirl255

    Hivi walimu tumemkosea nini Mungu?

    Haha serikali haijawekeza kwenye research [emoji38] huu msemo unapendwa sana
  10. Soldiergirl255

    Dereva wa Uber anahitajika

    Inamaana Uber hailipi kama inavyoelezwa? kuna mtu humu jf alitoa mrejesho kuwa anauwezo wa kupata kati ya ef 60 hadi lak 1 kwa siku. Ilinivutia sana kiasi kwamba niko kwenye mchakato wa kupata gari kwajili ya hiyo kaz tafadhali nipe uzoefu wako kwenye swala la mapato ya Uber kama mtu ataamua...
  11. Soldiergirl255

    Jambo lililonishangaza kwa wanaume wa Dar es salaam

    Nipo Dar hayo uliyoyaona mi sijawah kuyaona kabisa
Back
Top Bottom