Recent content by Solar pro

  1. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimepona Masundosundo

    kwa bahati zuri nimepona Masundosundo kwenye uume ugonjwa umenisumbua takribani mienzi tisa +9 ) leo naandika hivi yani nimepona kabisa nashukuru sana Jf doctor Kinga muhimu sana ,
  2. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Dkt. Matomora?

    Huyu mzalendo watu wa Mikoa ya kusini Ruvuma, Lindi na Mtwara wanamjua zaidi yupo wapi Siku hizi huyu Mzee?
  3. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kike kwa matokeo haya akasome nini?

    Mtoto wa kike ajira inamfaa sana brother kwa sababu ni ngumu familia kumtegemea.
  4. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Kama huyu ndiyo Katibu wa Wilaya CHADEMA anaandika hivi safari bado

    Nilikuwa nafatilia mkopo benk sasa barua ya mwenyekiti wa mtaaa wetu ni wa Ccm yaani sikutegemea kama hajui kusoma wal kuandika cha Ajabu mtaa anaongozi mjini kabisa nikasema tunaish kama msumbiji hivi .
  5. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Safu mpya ya CCM kupatikana leo; Chongolo, Bulembo, Shigela hapatoshi nafasi Ukatibu Mkuu CCM

    Mikutano kila mwezi huku wananchi wanakufa kwenye foleni ya kudai mbolea za Ruzuku[emoji23][emoji23]
  6. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Kama huyu ndiyo Katibu wa Wilaya CHADEMA anaandika hivi safari bado

    Mimi nawajua madiwan wa 3 wa Ccm na wenyeviti wa serikari wa 6 hawajui kusoma hata kidogo bora huyo anajua kuandika Njoo kusini uku ujionee.
  7. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kwa nini msikifufue chuo cha uuguzi cha Tunduru ?

    Chuo kilikuwepo zamani kabla ya Kuunguliwa na moto ,Tangu kiungue na moto chuo basi ndo ikawa mwisho ya kuchukuwa wanafunzi na wanafunzi wengine wakahama kabisa sasa kwanini wasikifufue ili kuongeza wataalamu wa afya ?
  8. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

    Ili Tuombwe pesa khaa.
  9. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Siri ya utajiri wa Majizzo

    Bei ya kujenga mnara hioo
  10. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Mimi nilitaka kufa siku moja job alifika mteja wa kumwekea protector wakati namwekea protector kwenye simu yake nikaona number ya mke wangu inampigia video call Aise karibia moyo usimame ,nikapeleleza nika ambiwa yule anamla sana mke wangu .Acha tu
  11. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Pia nimewai ota usingizini kuna mtu namjua kabisa alinijia kazini kwangu kuwa anauza misukule na hadi tukaenda kuangalia kwake anao watatu anawatoa wawili hadi nilishutuka Usingizini .
  12. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Mshana Mama angu amekufa mwezi uliopita sasa kuna siku nimeota ananiambia nimletee Dawa yupo sehemu fulani hii imekaa aje au mama angu yupo anaishi msukule ?
  13. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

  14. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

    Ndo maana maji bwawa la mtera yamekauka lahana hizi
  15. Solar pro

    JamiiForums Tanzania Mume ampeleka mchepuko wake nyumbani akidai binamu yake

    Iyo safi nitajaribu
Back
Top Bottom