Wadau, nawasalimu
Kuna huyu binti mzuri wa haja, baada ya ukaribu wa muda flan nikamuomba awe wangu, akakubali lakini akadai ana sharti moja, kwamba ana mchumba wake wa siku nyingi, huyu bwana ni mfanyakazi kwenye NGO, ila kwa sasa (wakati huo) yupo uingereza akifanya masters yake, wamepanga...