Wakaka: Ukiona nyani mjini ujue kaletwa

Wakaka: Ukiona nyani mjini ujue kaletwa

Siwezi kula sahani moja na mwanaume mwenzangu huku najua yupo! vimwana wa viwango mbona wapo!.nafuu niwe napigwa mizinga najua niko peke yangu.kuliko bure kumbe kuna mwenza.
Mkuu hakuna mwanamke asiyepigwa na watongozaji, na akikupenda utanasa tu
 
aa
I greet you my elders!

Huo ni ujumbe mahsusi niliopatwa kupewa na kimwana mmoja mzuri, niliyedumu naye kwa kipindi cha miaka miwili katika mahusiano bila kujua kuna mwanaume mwenzangu alikuwa anaingia gharama juu yake nyuma ya pazia! Maneno hayo mazito mithili ya makontena yaliyo potea Bandarini yalipenya kwenye ngome za masikio yangu na kutua moyoni na kuniachia jakamoyo.

Huyu dada tulijuana kupitia kampuni yao iliyokuwa inafanya biashara na kampuni yetu kwa miaka kadhaa alikuwa na mtoto mmoja, aliniambia aliyezaa naye hayupo nchini, waliachana kabla ya kufunga ndoa, pia huyu mwanaume sio mtanzania hatarudi Tanzania.Baada ya mda mdada huyu aliacha kazi kampuni yao akafungia biashara yake mjini hapahapa jijini Dar.

Mda wote nipo naye tulikuwa wote maeneo tofauti ndani ya nchi hata nje ya nchi sikuwahi kufikiria kama ana mtu zaidi yangu, nilikuwa huru nyumbani kwake na baadhi ya ndugu zake.Hakuwahi kukubali wala kuomba hela toka kwangu zaidi kukubali zawadi
hela marafuku kote tulikokuwa tunaenda kwenye mitoko mimi ndo mlipaji kwa hela zangu pia sikuwa namtegemea kwa fedha.

Hatimae nikaja kugundua kuwa alizaa na boss wake katika kampuni alikokuwa anafanyakazi!Na ile biashara kafunguliwa na boss ndo anayehudumia
hata nyumbani kwa mdada huwa anaenda, mimi sikuwa napenda kwenda kwake.

Nilivyomuuliza kwanini hakuniambia ukweli akaniambia nilipaswa kutumia akili na kuelewa kuwa ''ukiona nyani mjini jua kaletwa, anamwenyewe''!Ngachoka
funzo ukiona dada anapendeza, hahitaji hela yako na anaendesha maisha yake bila msaada wako baadhi yao kunakuwana mwanaume mwenzio anawajibika.

Nilikaa pembeni, kumpisha boss aendelee na kuhudumia na kula mzigo.

Ushauri sio ibada wote mseme ameni, mengine niachie mwenyewe.
asyeee pole mangi
 
Yaah ni kweli katika mazingira ya mjini ukimuona ngedere ujue wa kufugwa huyo so hata ukimrushia ndizi hashoboki coz boss wake anampa ya kwenye jokofu tena ana mmenyea kabisa .
 
Siku moja tulikuwa tunataniana na mke wangu ndoa mbichi kabisa namwambia siku hizi baby wanawake wananitamani sijui nimebadirika nini? Au kwa sababu unanipikia vzr na kuning'arisha"
Alinijibu, wambie ukiona ngedere mjini ujue ana mwenyewe
Hahhhaaaaaa
Mkeo alikufananisha na ngedere,....hahhhaaaaaaaaaa aaaaaaaahh!!!!. Pole sana, mjini chuo kikuu sio lazima uende darasani
 
Hii iwafikie zile njemba zote zinazopenda KITONGA
 
Wewe ukipenda vya bure uwe na roho ya kijasiri. Boss ana mkewake hapo anafanya show time. Urudi endelea kuchomeka, **** ya bure haiachwi kirahisi rahisi hivyo.
 
Kila msichana umuonae anapendeza mji huu jua kuna mtu anagharamia, sasa wewe jipeleke tu siku mwenyewe akirudi utaishia umia bure
 
Hamna mwanamke wa peke yako bongo hata umpe kitu gani lazima atachepuka tuu yani sijibkuchepeuka kuna ladha gani yanii??????
 
Sasa mkuu, unadhani kuna mwanamke yuko single hapa duniani? Asilani, wengi ni vidushe vinapishana tuu. Cha kushukuru ni kuwa haviachi alama. Vingekuwa kila mwanaume akiingiza dushe linaacha alama, kitu kinafanya tallying ungekuta wewe ni wa 2,500
Hahahahaha eti tallying😀😀
 
Wewe ukipenda vya bure uwe na roho ya kijasiri. Boss ana mkewake hapo anafanya show time. Urudi endelea kuchomeka, **** ya bure haiachwi kirahisi rahisi hivyo.
ubwege huo wa kupenda vya bure kwa mwanaume unayejua wajibu wako.
 
Back
Top Bottom