Recent content by Sokwe Mjanja

  1. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje!!

    Huyu Jamaa hajala Ban tu hadi sasa? Mods vipi jamani
  2. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua hanipendi kwasababu ana mtu wake wapi wanakodi bunduki???

    Wala sio sifa
  3. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyeje huyu mwanaume, jana almanusura ambake mpenzi wangu

    Kwanza pole kaka kwa haya yote yanayotokea mbele ya uso wa dunia yako. Lakini pia nikutahdhalishe kuwa ni makosa kisheria kufuatilia mawasiliano ya simu ya mtu mwingine hata akiwa ni mke wako sembuse wewe ni mpenzi wako, hebu jaribu kujiamini na kuachana na haya mambo yanayoweza kukuletea presha...
  4. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania Nauza mbwa aina ya bull dog

    Si ndio humu kapatia wateja we Mzushi
  5. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania Picha za Marais na wake zao.. Tupia humu

    Kaka umeua kabisa aisee! Yule jamaa pale darajani huwa hachoki kusimama!
  6. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu CCM kumbeba Kapuya dhida ya Ubakaji alioufanya, huu hapa...

    Kwanini unasema hivyo Nyani Ngabu?
  7. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania NIPENI MAJIBU YA HESABU YANGU HIi

    Wewe jibu lako ngapi mkuu? Litaje alafu tubishane kwa hoja
  8. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania NIPENI MAJIBU YA HESABU YANGU HIi

    Jibu ni 14 mkuu
  9. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania Tusichokijua kuhusu janga lililomsibu Ufoo Saro

    Polisi ipi unazungumzia? Hii ya kina shemeji yake na JK?
  10. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa mwanamke huyu na wengine kama huyu.

    Huo hata sio ujasiri ni ujinga kwa kweli.
  11. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenge kuna nini Jamani!!

    Umefanya utafiti kwa mwenge au utafiti wako ulihusisha na sehemu zingine? Unatudanganya!
  12. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania Vp kuhusu chumba kimoja!?

    Mbona wengi sana tumeanzia huko tu jamani, tatizo ni kuwa unajilinganisha na walio na vyumba vingi. Kwasasa fanya uwezalo kuboresha mazingira ya hapo chumbani tu. Hakuna mtu anaekushangaa kwa kuwa na chumba kimoja, ni kawaida sana tu.
  13. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninampenda sana lakini najilazimisha kumsahau

    Mi sijaelewa kitu kimoja Mtumishi wa Mungu hapa, umejuta na kuomba msamaha kwa mke na kwa Mungu wako sababu ya kumsaliti mkeo, lini sasa mbona umesema ulikuwa na huyu darasa la saba mwenzangu kabla hujaoa? Au baada ya kuoa uliendelea nae kidogo? Ulikosea sana kudhania Elimu ni kigezo kwenye ndoa...
  14. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda aambiwa Watanzania 175 wamefungwa kwa madawa ya Kulevya China

    Nitaona jinsi kweli serekali yangu ilivyoshibana na wachina kama msamaha utatoka aisee maana wachina wako makini sana na adhabu zao, hata wananchi wao wanawanyonga kama kuku wakifanya makosa sasa wakituhurumia sisi nitashangaa kwa kweli. Ninachokiona labda watawasamehe lakini kwa masharti ya...
  15. Sokwe Mjanja

    JamiiForums Tanzania Swali langu kwa Magufuli; Mbona Rwanda, Congo, Zambia etc hawalamiki?

    Kwahiyo sasa mmeweza? Mbona mmeachia?
Back
Top Bottom