4+2x(8-3)/2-1
MAGAZIJUTO: 4+2 x 5/2-1 = 6x5/2-1 = 30/1 = 30.
Jibu = 30.
Vilaza wa hisabati utawajua tu.
Kumi na nne
30....thelathini
4+2x(8-3)/2-1
MAGAZIJUTO: 4+2 x 5/2-1 = 6x5/2-1 = 30/1 = 30.
Jibu = 30.
Jibu 0
= 14.....
Jibu 14
Jibu ni 14 mkuu
Vilaza wa hisabati utawajua tu.
Soon ulikuwa umeweka 9 ukaniacha nacheka sana mkuu sasa hiyo kumi nne pia utakuwa chaka. Ngoja tumsubiri mwalimu Mzizi mkavu aje atusahihishe kwanza.
4+2x(8-3)/2-1
MAGAZIJUTO: 4+2 x 5/2-1 = 6x5/2-1 = 30/1 = 30.
Jibu = 30.
Wewe jibu lako ngapi mkuu? Litaje alafu tubishane kwa hoja
Vilaza wa hisabati utawajua tu.
4+2x(8-3)/2-1
MAGAZIJUTO: 4+2 x 5/2-1 = 6x5/2-1 = 30/1 = 30.
Jibu = 30.
Aisee!? Hapa kuna kazi.
Mkuu upo sahihi kabisa!Mkuu umeleta kanuni sahii lakini umeshindwa kuiapply.
MAGAZIJUTO (Mabano,Gawanya,zidisha, jumlisha,toa)
Mabano 🙁8-3) = 5
Gawanya : 5÷2= 2•5
Zidisha : 2×2•5= 5
Jumlisha : 4+5= 9
Toa : 9 - 1= 8
Jibu sahii ni 8
jamani hesabu wito mi niliikimbia sababu ya mambo ka haya hacha tu sie tupige mbwembwe kwenye art