Recent content by Sokoinejuniour

  1. S

    Kuishi na mtu kazi, ninyi hivi mnawezaje? Gf tu ananishinda

    Mkuu ukiingia kwenye haya maisha unatakiwa kufikiria maisha ya jumuia siyo binafsi tena, umesahau kuna siku utaamka na mpango wa kuvaa tshirt fulani unakuta mwenzio ameshindia jana yake
  2. S

    Hii ndio namna bora ya kukabiliana na mwanamke wa namna hii

    mkuu utaachwa na mademu wangapi kisa kjikosesha muda wa kubadilishana story na mwenza wako?
  3. S

    Hii ndio namna bora ya kukabiliana na mwanamke wa namna hii

    Mkuu akitokea jamaa mwingine wa kumpigisha story, kutafakari siku ilivyokuwa, jiandae kuachwa
  4. S

    Nimedukuliwa mawasiliano yangu, naomba msaada wa namna ya kujiondoa

    M Hii ina apply hata kama kuna instalation ya app kwenye device?
  5. S

    Wanaume Single mnasubiria nini?

    mkuu kwenye kupata mtu sahihi ndo inabidi iliwezekana kumshirikisha mungu, ukikosea kuoa, utahitaji busara sana kurejesha amani na furaha kwenye maisha yako
  6. S

    Ngoma ipi ya Hip Hop ya mapenzi unaikubali kati ya hizi? Weka lines

    kiboko yangu- mwana fa ftkiba, yalaiti
  7. S

    Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

    Mkuu title yako na maelezo ni tofauti, kwenye title umesema akili lakini maelezo yanaonyesha u need a Smart woman not a bright woman
  8. S

    Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

    mkuu unahitaji mwanamke mjanja au mwanamke mwenye akili?
  9. S

    Wadada mnaweza kuwa kwenye mahusiano bila kuomba hela?

    Dada mwambie muhudumu akuongezee heineken 2 za bardi
  10. S

    Wanaume kauzu

    Wakuu naomba kuuliza kwa nia njema tu, Kwanini wanaume walio kauzu sana kwa wanaume wenzao, ni mabwege, dhaifu, maboya sana kwa wanawake?
  11. S

    Kwanini Tanzania imegeuka kuwa nchi ya vitisho, ukiwa na hofu?

    Mkuu usipovunga zipi ya suruali msamaria mwema atakustua Ila ukifunga atakusalimia tu na kuendelea na safari zake
  12. S

    Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

    U Uelewa wa watu kama nyie ndo unafanya elimu yetu inajadiliwa
Back
Top Bottom