Recent content by SOKAW

  1. SOKAW

    Lowassa: Nitakuwa Rais, ama kupitia CCM au nje ya CCM

    Ukichunguza CCM Yote,hakuna Hata Mmoja Mwenye Sifa Ya Kuwa Mkuu Wa Nchi Inayohitaji Maboresho Na Mabadiliko Ktk Secta Ya Elimu,afya,rushwa Na Ufisadi! Hakuna,labda Izaliwe Upya,kusiwepo Kina Filip Mangula,kingunge,kinana,wasira Na Wengine Wengi Tu.
  2. SOKAW

    Lowassa: Nitakuwa Rais, ama kupitia CCM au nje ya CCM

    Lowasa,Membe Hata Na Hao Wanawake Wote Hkuna Anaestahili Kuwa Rais Eti! Ah! Me Sijui Watu Hawawaoni Wataka Urais.
  3. SOKAW

    Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

    Tutanunua lazma,hatunabudi kuwa wazalendo kwa nchi yetu,bidhaa zetu,na ubunifu wa ndg zetu ktk sanaa.
  4. SOKAW

    I love you as my brother

    Ndg yangu usiwe kama kipofu aliyefunguliwa macho akamuona dada m1 kisha akafumbwa tena,vifaa vimejaa tele! hayo majibu yanamaanisha kuna mtu anatumia hyo PROJECTER KUCHECK MOVE yake ila ww unataka kumuaribia.Accep to be as her bro,en don't complain more.
  5. SOKAW

    Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

    Haya matukio ni mengi hadi sasa! kimsingi tusiyausishe na SIASA.Lakini najua Rais ana hizi taarifa hvyo afanye maamuzi mapema lisijekuwa janga la kitaifa,au anasubiri waguse AICC na misifa yetu iishie hapo KIJESHI.
  6. SOKAW

    nasikitika, lakini sikuwa na jinsi

    Mimi inabidi nikuite ndg yangu maana umefanya kama ulivyoyaita maamuzi magumu.Nitajitahidi kuendeleza pale uliposhindwa.
  7. SOKAW

    "Tundu Antiphas Lissu, live muda huu Startv"

    Kwa Lisu mbona! nadhani maswali yataisha,then kipindi kitaisha ghafla,kikiendelea maswali yatakuwa yanajirudia
  8. SOKAW

    Kuanzia sasa ukienda kuoa Moshi andaa vitu hivi...

    Wachaga hawawezi kuwa na tabia za kihivyo! so then nae bint anatoa ushahidi gani mbele ya wazee,vile atamsaidia mwenzake
  9. SOKAW

    Magari yenye usajili wa RAC

    Utafahamu tu,wewe kuwa mtulivu
  10. SOKAW

    EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

    Salaam sana.Rasimu iweke wazi kuwepo au kutokuwepo kwa muungano.Tusifiche ukweli,baadae ikasimamisha Katiba kigugumizi.
  11. SOKAW

    EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

    Salaam sana.Rasimu iweke wazi kuwepo au kutokuwepo kwa muungano.Tusifiche ukweli,baadae ikasimamisha Katiba kigugumizi.
  12. SOKAW

    Wasichana wa sekondari ni hatari sana kwa sasa.

    Ni poa tu km hujaka2mia katoto ka watu,ila usisahau wenzio watatumia tu.
  13. SOKAW

    Kwa Uzoefu Wako: Dada Huyu Kabila Gani?

    Ni msambaa bana,tena ana bahati ni mrefu kidogo!
  14. SOKAW

    Majibu ya JK kwa Kagame ni haya hapa

    Moto ni moto tu,ukiishawaka una uwezo wa kuunguza na kuchoma pia.(mm km mtanzania nina uwezo km JK na KGM,hatutaki kwere
  15. SOKAW

    Nawatafuta sana watu hawa anaewafaham please

    Ni vzuri mkatafutana fb,huku naona km mna......../$
Back
Top Bottom