Nawatafuta sana watu hawa anaewafaham please

Nawatafuta sana watu hawa anaewafaham please

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,464
Ashrafu Jowayr,au Anchu jina la utani huyu bwana nilisoma nae primary nzega tukaachana tukiwa drs la 4 akaelekea Arusha,mwaka 1994

Mwingine ni,

Rozi mallya,au.rozina petro, huyu bint pia nimesoma nae primary alikuwa.swahiba wangu sana,tuliachana miaka mingi alipohama na family yake walihamia moshi,kama sikosei ni kilua vujo,au kilwa vinje kama sijakosea majina,please mtu mwenye kuwafaham hawa watu anisaidie nimewamiss sana,
 
Mimi namtafuta, robert akwilin, martin bokida, selina tembo na martin kaaya
 
Mi namtafuta FATUMA-JUMA,Nilisoma naye Kishoju 2006 baaday akahamia IZIGO SEC,, Kama yumo humu an PM! Nimemis kweli
 
Kumbe ninyi wote ni watoto tu, eennhh...!!
 
Namtafuta mpenzi wangu wa mwanzo kabisa aliyenitoa bikira anaitwa king'asti please kama mtu anamjua au mwenyewe yupo ani PM,vile vile namtafuta sana Lady doctor nilimfukizia sana kitambo akanipotelea sijui wapi sijui!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni vzuri mkatafutana fb,huku naona km mna......../$
 
Back
Top Bottom