Recent content by Sogory

  1. Sogory

    JamiiForums Tanzania Kaniambia baada ya mfungo hatokuja kabisa nyumbani, ndio ananiacha hivi hivi?

    Ndio maana wahuni wanawachapa mimba alaf wanafanya malezi ya mbali
  2. Sogory

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Chakufanya wewe fanya mambo yako, fanya kila namna mhudumie mwanao tu, kama ni shule aende. Mimi ilinikuta km hiyo, na shida ilikuja kumpata mtoto kuchelewa kuanza shule, na mpk sasa wa rika lake wako madarasa mawili mbele.
  3. Sogory

    JamiiForums Tanzania Tax computation on imported Motor Vehicle

    Wonderful knowledge, thanks
  4. Sogory

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Nimesoma comments zote,, mpk nimemaliza nimepata elimu yakutosha, nimegundua maisha siyo marahisi kama watu wanavyofikiria, lazima ufanye research ya maana kuanza hii business. Unahitaji upata mda na kujifunza. Asante sana mr keisangora na wengine kwa kutupa madini yakutosha. Nitaku pm kwa...
  5. Sogory

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante Chief
  6. Sogory

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Jamani.mimi gari yangu toyota fielder, taa ya imegence break imewaka kwenye dashboard muda wote. Navojua ni kwamba ni weka emergency break ndio inatakiwa kiwaka, but sasa hivi hata nishushe bado inawaka. Msaada tafadhali
  7. Sogory

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante sana
  8. Sogory

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imeajiri mtu aliyepata divisheni ZERO kwenda kufundisha watoto wetu

    Mbona fresh tu acha akafundishe na yeye apate mshahara. Hakuna tofauti na waliopora uchaguzi waziwazi. Ebu waacheni wapate rizki. Pia yule aliyerudiwa mara 196 aripoti kotokote,. Hapa ndipo ujue waliopata hizo kazi kuna connection ya ajabu
  9. Sogory

    JamiiForums Tanzania Pengine makusanyo haya ya sadaka na mavuno yanawasahaulisha Kardinali Pengo na Mapadre wengine.Tuwakumbushe kuwa waumini tupo ktk mtanziko wa kiuchumi

    Mimi sikuhizi siendi Church na sadaka yangu natoa njiani Kwa wasiojiweza, na popote roho yangu inapoona inafaa. Siwezi nikatoa kwa hao mapadri, halafu nijidanganye naenda kuungama kwa Pengo. Never
  10. Sogory

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Nairobi-Kenya kwa siku 3

    Pia wengi wao wanaishi kwa apartments na nyumba zao nyingi ni gorofa. Pia wako na Wi-Fi kwenye matatu zao nyingi. Pia matatu zao ni kupanga foleni esp kwa sehemu zenye abiria wengi. Hii wa Tz tuige
Back
Top Bottom