Recent content by Sodagani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Queen Darleen Afunguka kuhusu kutoka kimapenzi na Ali Kiba

    Hahahahaaàa kaka mkubwaaa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Captain Jack Sparrow

    Mwenye link ya web ya kudownload move za huyu bwana naomba aitupie hapa javini. Nahisi ni mimi tu ndie nilie baki bila kumjua au kuona move zake.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba kurekodi video Marekani

    Duh umefufua uzi wz 2009!!! Ngoja wenye timu zao waje kuzungumzia hizi ahadi na mikakati aliyosema.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Garage gani inaweza geuza Toyota Allion LHD iwe RHD?

    Naye ameshasema kuuza imekuwa ngumu ndio maana anataka gereji yenye fundi mzuri ambadilishie mfumo aweze kwenda nayo akatumie huko. Naona tumebadilisha mada yake na kumuanzishia mada mpya.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

    Jibu ni 90 Njia zaweza kuwa nyingi ila mimi nimetumia hii. 4 + 4 = 20 Hapo kafanya 4×4 + 4 = 20. 5 + 5 = 30 Hapo kafanya 5 x 5 + 5 = 30. 6 + 6 = 42 Kachukua 6 x 6 + 6 = 42. 7 +7 = 56 Kachukua 7 x 7 + 7 = 56 So 9 + 9 = 90 Yaani 9 x 9 + 9 = 90
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukinga mafuta kwenye malori ya mafuta barabarani si sawa kabisa

    Tukitazama kwa jujuu twaweza ona ni sahihi ili nao wajipatitie riziki zao ila kwa jicho la pili ni hatari sana kwa maisha yao na maisha ya wengine kwakuwa kama itatokea mtu kutupa kipisi cha sigara au ikatokea hitilafu yoyote inayoweza toa cheche za moto inaweza kuteketeza gari nyingi na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwana JF bora 2016.. OVERALL

    FaizaFoxy
  8. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matangazo bora ya biashara kwangu kwa mwaka 2016

    [emoji23] [emoji23] hahahahaaa
Back
Top Bottom